kipara kipya
JF-Expert Member
- May 2, 2016
- 14,128
- 16,096
Wengi walisubiri kwa hamu kusikia ule mtanange wa siku mbili tatu wa vigogo wawili labda chairmani atagusia ili wapate cha kuamkia kesho,magazeti yauze na yule wanae msakama waendelee kumsakama,
Lakini chairman aliwasoma mawazo yao kabla!
Wanakwenda kulala huku wakisononeka na yule waliyemshangilia huko kipindi cha nyuma uwepo wake leo umewanyong'onyeza kabisa na ile hutuba yake ya kusifia imewatia kizunguzungu kuwa binaadamu haaminiki hata yule aliye jela au kule ulaya anaweza badilika!