Alichokizungumza kwenye mapokezi ya ndege sicho walichotegemea kusikia

Mawazo yako tu hayo. JMP a.k.a Mr Clean.
Ivi umeshatembea hii nchi wewe kwa miaka hii miwili? Kila sehemu kuna eiza Waziri ama Katibu ama mkurungenzi, ama mkuu wa wilaya anachapa kazi.

Nyie mnabaki kuvizia kasema nini huku kazi zinachapwa.
Wanachapa kazi shoo off tu unachapa kazi huku wananchi hakuna ajira hospitali wazazi wanakufa watoto wanakufa vyumba vya madarasa hakuna maji hakuna umeme mgao kaxi ya kuuza sura na kufoka foka kama majoka ya kibisa jifunze propaganda za kichina siku hizi hazilipi
 
Je kuna badadiliko ama hakuna ? Maana swala la maendeleo si swala la mchezo wala si swala la asubuhi?
 
Back
Top Bottom