Alichokizungumza kwenye mapokezi ya ndege sicho walichotegemea kusikia

kipara kipya

JF-Expert Member
May 2, 2016
14,053
15,885
Wengi walisubiri kwa hamu kusikia ule mtanange wa siku mbili tatu wa vigogo wawili labda chairmani atagusia ili wapate cha kuamkia kesho,magazeti yauze na yule wanae msakama waendelee kumsakama,

Lakini chairman aliwasoma mawazo yao kabla!

Wanakwenda kulala huku wakisononeka na yule waliyemshangilia huko kipindi cha nyuma uwepo wake leo umewanyong'onyeza kabisa na ile hutuba yake ya kusifia imewatia kizunguzungu kuwa binaadamu haaminiki hata yule aliye jela au kule ulaya anaweza badilika!
 
Ulifanya lini utafiti ukagundua wengi waliwaza ulichosema

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ma Professor Wengine Ni Wa Hovyo Hawana Uzalendo Mmoja Nilimfukuza Hapo Hapo Kila Ukiteua Mwanamke Wanasema Hawala Yake
 
Nyie ndiye mnadhani UAE Singapore Thailand Malaysia Korea maendeleo yameletwa na Magufuli.Magufuli kaharibu nchi uchumi unaporomoka.Kafanikiwa maneno ya jukwaani tuu.Korosho kachemsha.
Mahindi miaka yote NRFA walikua wakiuza wfp na hifadhi ilikuwepo tani laki 4.sasa hivi hata tani 65000 hakuna
Hahahahaha!!! awamu hii kila kitu ni hakijawahi kutokwea tangu uhuru wa nchi hii. korosho pia walisema 3300 haijawai kutokea wakati msimu wa 2017 ilikua elf 3617 kwa kg. Yani ni haijawahi kutokea

Sent using Jamii Forums mobile app
 
JPM anawapiga chenga afu anawa confuse - Hadi watakatika mishipa ya fahamu huku yeye akichanja mbuga.
Ha ha ha wacha ni cheke mie anajipiga chenga mwenyewe kila mtanzania anajuwa ni fisadi na mwenziwe ndugai maana waficha ripoti iliyooonyesha wamefisai pesa za umma ila magufuli mshamba
 
Mawazo yako tu hayo. JMP a.k.a Mr Clean.
Ivi umeshatembea hii nchi wewe kwa miaka hii miwili? Kila sehemu kuna eiza Waziri ama Katibu ama mkurungenzi, ama mkuu wa wilaya anachapa kazi.

Nyie mnabaki kuvizia kasema nini huku kazi zinachapwa.
 
Wengi walisubiri kwa hamu kusikia ule mtanange wa siku mbili tatu wa vigogo wawili labda chairmani atagusia ili wapate cha kuamkia kesho,magazeti yauze na yule wanae msakama waendelee kumsakama,
Lakini chairman aliwasoma mawazo yao kabla!
Wanakwenda kulala huku wakisononeka na yule waliyemshangilia huko kipindi cha nyuma uwepo wake leo umewanyong'onyeza kabisa na ile hutuba yake ya kusifia imewatia kizunguzungu kuwa binaadamu haaminiki hata yule aliye jela au kule ulaya anaweza badilika!
TENA WALIKUWA WAMETEGA MASIKIO NA MACHO KODOOOO
 
Back
Top Bottom