Sitaki kabisa kusikia hiyo kauliSiku si nyingi tutasikia "pray for Iran and children of Iran”
Sitaki kabisa kusikia hiyo kauliSiku si nyingi tutasikia "pray for Iran and children of Iran”
Hizo drone za Iran na nyinginezo mbn speed zake zinajulikana hayo masaa 8 hata wasingesema hata wewe kama ni mwelewa ungejua.Haha mtu anakushambulia na taarifa imetolewa na hayo madude yaliporushwa mtu unajua kabisa sasahivi yanakuja hadi unajua muda gani zitakua zimefika wapi.
Jamaa sana sana alifanya tu psychological warfare kwa ile wiki baadae akatafuta tu kitu cha kumalizia,,,siku zote mwenye nia ya kuangamiza lazima afanye ambush
Wewe ukabanjue wagonjwa hii vita na nani mwenye uwezo tuliza hizo kende mjinga mwenzangu😂Israel katumia Dola BILION 1.3 kujilinda.
Iran katumia Dola Million Mia Thelathini.
Mashambulizi ya Iran hayakua na lengo la Kuumiza Israel, yalikua na Lengo la Kupima Ulinzi wa Anga wa Israel.
Israel kalindwa zaidi na US, UK ,Franc na Jordan.
Huu mzozo, msiuchukulie kawaida.
Iran karuhusiwa kuishambulia Israel Toka Kwa haohao URUSI NA UCHINA.
Ulaya, UK , NATO na US, hawana Uwezo Kwa Sasa wa kuanzisha vita maeneo matatu Kwa wakati Mmoja.
Wewe baki una bweka tu kama mbwa koko 😄Israel iko kwenye readiness ya hali ya juu ndio maana ndegevita hazikauki angani zinafanya patrol, likizo za marubani wa kijeshi zote zimefutwa, missile defense forces zipo kwenye attention. Baada ya kushambulia ubalozi Israel ilijua kutakuwepo na majibu ikajipanga. Iran haikuwahi sema itapiga wapi na wapi na itapiga lini. Kama una ushahidi leta. Iran ilisema italipa kisasi, haikusema kivipi.
Ni intelligence ya Israel iliyoonyesha watarusha maana maandalizi yanaonekana, na missile warning systems zilionyesha tangu makombora yanafyatuliwa Iran hayajatoka kwenye anga lao. Engagement ikafanywa na jets za Israel, AD mbalimbali, melivita kama Saar 6, Patriot na kidogo silaha za washirika.
Yemen kuna makombora uchwara ya Iran. Zile cruise missiles zinadondoshwa hata na Apache helicopter. Silaha nzito za Iran hazipo Yemen wala Syria, na hata uko Yemen zimerushwa kutokea ila zimedondoshwa. Si ndio hizo zimepita Saudi Arabia.
Almost makombora yote ya Iran ni supersonic. Unataka supersonic yapi tena?
Kwahiyo hayo aliyorusha sio kitu kwa Israel, unataka mengine tena. Kumbe Iran ana makombora ya kinyonge hivyo. Omba Israel isirushe makombora uone precision na Iran haambulii kudungua kombora. Ngoja waamue hawa majamaaView attachment 2964610
Figure za Iran kutumia dola millioni Mia thelathini umezitoa wapi? !Israel katumia Dola BILION 1.3 kujilinda.
Iran katumia Dola Million Mia Thelathini.
Mashambulizi ya Iran hayakua na lengo la Kuumiza Israel, yalikua na Lengo la Kupima Ulinzi wa Anga wa Israel.
Israel kalindwa zaidi na US, UK ,Franc na Jordan.
Huu mzozo, msiuchukulie kawaida.
Iran karuhusiwa kuishambulia Israel Toka Kwa haohao URUSI NA UCHINA.
Ulaya, UK , NATO na US, hawana Uwezo Kwa Sasa wa kuanzisha vita maeneo matatu Kwa wakati Mmoja.
Kibiti ndani ndani kule.Mkuu, unateseka ukiwa wapi? Irani au Gaza?
1. Usiombee vita ya Iran na Israel (US na washirika karibu wote wa NATO isipokuwa Uturuki). Pili, tukio la juzi kama si US, France na Uingereza basi Israel kungekuwa na story ngumu. Biden alisema, wameisaidia Israel kuangusha karibu makombora yote! Tatu, Iran kafanya mashambulizi ambayo intel za Israel, US na wengine walijua. #Potezea wakubwa wanapofanya tragic drama.😀😀😀🙏🙏🙏Kwamba, mabomu yote yale aliyofyatua Irani, hayajafanya chochote? Israel kamfanyia dharau Irani
Siku zote Irani huamini kwamba, Israel ni mnyonge wake, hawezi na hatoweza kumpiga miaka milele
Iran ukimwangalia, ni kama amejiweka kwenye nafasi za USA huko na siyo nchi kama Israel na kwamba, ikitokea mechi ya USA na yeye, angalau hata jasho laweza kumtoka
Wakati akiendelea kuamini hicho, Anayeaminigi kuwa ni mnyonge wake, alichomfanyia juzi, ni masikitiko
Maandalizi ya kulipa kisasi dhidi ya mashambulizi ya balozi zake pale SYRIA yaliyofanywa na Majeshi ya Israel na kuuwa makamanda wengi wa Ki Irani, yamefanyika kwa wiki nzima na siku
Bila ya shaka maandalizi hayo, Irani aliyaandaa na akiamini atakapo fyatua mabomu, Lengo ni kuisambaratisha kabisa Tela Aviv
Kilichotokea, ndio hiki nimekiita kuwa, unayekuwa ukiamini ni mnyonge wako unapotupa ngumi kali halafu akaikwepa, inabidi ujiulize mara mbili mbili
Gharama yote ile iliyotumika na Irani halafu haijaleta dhara lolote, halafu Israel kamdharaaau na hata hana shida naye huku akiendelea kuwatwanga Gaza, ujue hizo ni dharau kubwa sana dhidi ya Irani
IRAN Kuna haja ya kurudia tena mashambulizi mengine kwa Israel ili angalau ashituke
Hahahahaha... Mzeee ukiongopa Uwe na kumbukumbu. Mbona hizo Truck kwenye video yako ni za Urusi 😂😂😂😂😂Wewe baki una bweka tu kama mbwa koko 😄
Kwanza zinaitwa Hypersonic sio supersonic, pili Iran hakutumia hata Hypersonic Missiles alitumia Ghadir na Sajeel hizi zote range yake ni 2500.
Angetumia Hypersonic angewamaliza, afu Iran kapiga Military Target c huyo bwege Israel yeye target zake civilian na majumba 😄
Ona kipigo hicho alicho pokea kutoka kwa Iran
Mkuu, siombei vita Aiseee1. Usiombee vita ya Iran na Israel (US na washirika karibu wote wa NATO isipokuwa Uturuki). Pili, tukio la juzi kama si US, France na Uingereza basi Israel kungekuwa na story ngumu. Biden alisema, wameisaidia Israel kuangusha karibu makombora yote! Tatu, Iran kafanya mashambulizi ambayo intel za Israel, US na wengine walijua. #Potezea wakubwa wanapofanya tragic drama.😀😀😀🙏🙏🙏
Labda ilikua umelala wakati watu tukiwa tunafatilia live. Iran na vibaraka wake wote walirusha makombora, Makombora yalirushwa kutokea Lebanon, Houthi, Iraq, Syria.Hamas alishaonyesha namna njema ya kumshambulia Israel. Alirusha kombora 500 na zaidi bila taarifa. Sasa Iran ipo mbali na Israel kama alitaka kushambulia why hakurusha kutokea Yemen kwa washrika wake? Iran ana makombora ya supersonic why hakurusha hata moja kwenda kusumbua ngome?
Iran katumia hadi Emad medium range ballistic missile ambazo ni liquid fueled. Nazo zimedunguliwa wakati ndio hizo anaficha kwenye underground facilities maana yake ni silaha ya ubora mkubwa kati ya walizonazoUpunguze chai mkuu.
Iran makombora alotumia ni ya ujazo mwepesi na ni unguided missiles ya medium range.
Bado ana makombora ambayo mazito na ni magumu ku intercept baadhi anayatumia Hizbollah na ndio aliyoyatumia February dhidi ya Kambi za Israel Kaskazini mwa Israel.
Usim underestimate hivyo Iran.
Mzee ulipotelea wapi.... Za siku nyingi mkuuUlienda kuangalia kweli kama hakuna madhara?
Vikombora vilidakwa na Arrow 3 kama kipanga anavyodaka njiwa😂😂Iran katumia hadi Emad medium range ballistic missile ambazo ni liquid fueled. Nazo zimedunguliwa wakati ndio hizo anaficha kwenye underground facilities maana yake ni silaha ya ubora mkubwa kati ya walizonazoView attachment 2964666
Kama unaamini Hezbollah ndio ana makombora ya uwezo mkubwa kuliko Iran mwenyewe unakuwa kama hujielewi. Iran anayo mazuri zaidi, ila makombora 300 iliyorusha hayajaua wala kuharibu zaidi ya minor damage. Israel haiwezi rusha makombora 300 msihesabu maiti na uharibifu mkubwa.
Tofauti ni kwamba Israel ikirusha Iran inaweza isiambulie kudungua hata kombora moja tu. Na hayo mazuri zaidi ya Iran mengi yake yanazuilika.
Ona hii nguruwe poriWewe baki una bweka tu kama mbwa koko 😄
Kwanza nilikuwa na-quote, niliyemquote kataja supersonic na ndio nimejibu, kwakuwa wewe ni ngumbaru hujui unabishana nini.Kwanza zinaitwa Hypersonic sio supersonic, pili Iran hakutumia hata Hypersonic Missiles alitumia Ghadir na Sajeel hizi zote range yake ni 2500.
Military target gani Israel imepigwa. Israel ikipiga military target inaua wahusika na kuharibu zana. Nyinyi mnajeruhi binti na kuharibu rami ya airbase. Eti mnashambulia airbase ya Negev alafu makombora yanaisha ndege zinaruka kawaida, bulldozer zinafukia vishimo eti hapo mmeshambulia military target😂Angetumia Hypersonic angewamaliza, afu Iran kapiga Military Target c huyo bwege Israel yeye target zake civilian na majumba 😄
Ona kipigo hicho alicho pokea kutoka kwa Iran
Akikujibu nitagUlienda kuangalia kweli kama hakuna madhara?
UK,USA na Israel ndio haohao unaposema amesaidiwa au amejisaidiaIsrael katumia Dola BILION 1.3 kujilinda.
Iran katumia Dola Million Mia Thelathini.
Mashambulizi ya Iran hayakua na lengo la Kuumiza Israel, yalikua na Lengo la Kupima Ulinzi wa Anga wa Israel.
Israel kalindwa zaidi na US, UK ,Franc na Jordan.
Huu mzozo, msiuchukulie kawaida.
Iran karuhusiwa kuishambulia Israel Toka Kwa haohao URUSI NA UCHINA.
Ulaya, UK , NATO na US, hawana Uwezo Kwa Sasa wa kuanzisha vita maeneo matatu Kwa wakati Mmoja.
Nimeumia nilitaka angalau Israel wafe watu kama 20 hivi wa kutolewa kafara. Jamii ikasirike ishinikize serikali ilipe mashambulizi. Sikuwa na wasiwasi nilijua kipigo kikali kutafuata vinu vya kinyuklia vya Iran viangamizwe. Sasa ona makombora zaidi ya 300 hayajaua hata mbwa, unaanzaje kuwashawishi raia wa Israel kipigo kikali kiifuate Iran?Vikombora vilidakwa na Arrow 3 kama kipanga anavyodaka njiwa😂😂