Joseverest
JF-Expert Member
- Sep 25, 2013
- 53,160
- 72,200
abroad ya wapi...Nipo abroad mkuu nimechanganya files
abroad ya wapi...Nipo abroad mkuu nimechanganya files
Kasema ni USA sasa sijui ni ile ya USAMBARA kakatisha jinaabroad ya wapi...



Hahah hata huku Chugga kuna USAKasema ni USA sasa sijui ni ile ya USAMBARA kakatisha jina![]()
Ahsante ahsanteKaribu sana alibakari kwanza una mpenzi humu jf?
mpenzi nnae JFSamahani, rudia hili swali kwa kiswahili, bahati mbaya mi english sijuiUmenufaika vipi kiuhalisia materialism mfano vitu tangible kabisa

Labda kwa baadae, ikiwa mambo yangu yatakuwa mazuriAisee interesting! Una mipango nae ya baadae mfano ndoa!