Tai Ngwilizi
JF-Expert Member
- Apr 20, 2010
- 781
- 210
natumia alibaba bila shida, ebay nilijaribu once nikatapeliwa ukawa ndio mwanzo na mwisho, China kuna bidhaa zenye quality nzuri tu ambazo hata ulaya zipo (na ni made in China) ila kwa bei ghali zaidi. Market prices za China ni za chini sana kulinganisha na nchi zilizoendelea
cha muhimu fanya research ya kutosha kabla hujafanya any transaction.
cha muhimu fanya research ya kutosha kabla hujafanya any transaction.