Hahaha sasa management imempa mpaka video kubwa kashindwa mwenyewe ulitaka wamfanyeje! Hii management aliyonayo akisema nayo haifai sijui atafaa nani.
Ulitaka uhalisia kwani hii ni bongo movi , umechelewa ......
Ila tambua mimi nilichokifanya ni benchmarking, sasa sijui ulitaka nimlinganishe na msanii gani hapa bongo?
Awesome...!
watu walitengeneza video zao kichwani halafu imekuja ndivyo sivyo huu unaitwa ubunifu
so unique watu walitaka wamuone huyo mwana alivyokuja hadi alivyobadilika wakamkosa
i like it
Naangalia clouds tv kwa kweli hii video imepwaya kabisa, jamaa ajipange sana kumfikia DANGOTE.
dabluz wee ndo mjinga coz ulitaka nimlinganishe na nani hapa bongo, mzee yusuph? Ukweli utabaki palepale tu, VIDEO ni mbovu full stop!