playboy baabu
Member
- Feb 4, 2016
- 83
- 12
Tupo flexible siyo style hiyo hiyo acha uwongo nyimbo ya mond na khadija kopa ni aina gani?wabongo tushazoea mondi anaimba afropop zile za tudd na kiba anaimba zouk-rhumba zile za manwater, sasa now abidady kanipigia beat moja ya kibabe sana ya electro, mziki ambao hatujauzoea
we kilaza umejiunga lini humuTupo flexible siyo style hiyo hiyo acha uwongo nyimbo ya mond na khadija kopa ni aina gani?
Mkuu waache wamalize hasira zao unawapa kichwa bure
Mkuu waache wamalize hasira zao unawapa kichwa bure
hii nyimbo mpya ya ali kiba lepela inanifanya namaliza sana chaji ya simu yangu,nikiwa nyumbani mpaka majirani wanasema nasumbua ki ukweli i like this song,big up ali k kwa kutekenya akili yangu namna hii.
nb.sina timu napenda kazi nzuri.
We kama naniwe kilaza umejiunga lini humu
Babako kastaafu?... Maana ndo alikuwa mwenyekiti wetu vilaza aliyepita bila kupingwa hahahahaaaaaa....we kilaza umejiunga lini humu
hii nyimbo mpya ya ali kiba lepela inanifanya namaliza sana chaji ya simu yangu,nikiwa nyumbani mpaka majirani wanasema nasumbua ki ukweli i like this song,big up ali k kwa kutekenya akili yangu namna hii.
nb.sina timu napenda kazi nzuri.
wabongo tushazoea mondi anaimba afropop zile za tudd na kiba anaimba zouk-rhumba zile za manwater, sasa now abidady kanipigia beat moja ya kibabe sana ya electro, mziki ambao hatujauzoea
Lakini kwa hili Kiba is way smart, alishajua mziki wake unapotea na kama sio kutembea na bifu la Diamond leo hii wala asingeweza hata kupambana na hawa wasanii wengine wadogo.. Anatembea na kivuli cha Diamond na kinamlipa vizuri tu... Nyie mashabiki ndio mnajazwa povu tu..
Pata zigo kisha linganisha na uchafu alioutoa jamaa yako.Tengeneza yako uifanye utakavyo we ajuza au umkompe anaye kukaza