Ki ukweli sisi team "king kiba" ndani kabisa ya mioyo yetu tunampenda Dangote na kazi yake nzuri kabisa aifanyayo ila ndio vile tena kuishi bila Unafki hatuwezi!!
Na Jokate ameonyesha hasa tulivyo!!
Tutanyooka tu mwaka huu!!
Katangaza nia ametokea kukupenda mkuu mfikirie bhana
Mnafiki ni wewe unayejifanya kondoo huku ukiwa chui, na wewe si msemaji wa mashabiki wa kiba. Hatuna unafiki kama wewe, na tunampa pongezi domo kwa kupata tuzo ya kukatia wanaume wenzie viuno jukwaaani hahahahahahaha hakuna cha video bora, wala nyimbo bora hahahahhaha. Full kukata mauno. King kiba for life
hahaa haya naona umekuja kuleta fujo hayo mambo yameshaisha tayari lets focus tomorrowmkuu sikuoni airport vipiiiii
au le kimbungaz imekuzoa????
Hahahaaa kananuka pichu hako.
Mkuu kapotezee chukua glass ya maji usije ukaka RIP sitapata nafasi ya kuja magerezaaa
hahaa haya naona umekuja kuleta fujo hayo mambo yameshaisha tayari lets focus tomorrow
nifah come this way as soon as possible
Habari njema. Zileteni jamaniii
miss youuuuu
Malimao yamekupa nguvu kidogo umerudi
LE MAFURIKOZZZZZ hahaha wakina jekate wanalia huko instagram...
Mi nishanyoooka tokea 2010 nikasema huyu hafaiiiii
Muwe mnakuja na I'd zilizoeleka humu loh! Hamjiamini na mkata kiuno wenu teh teh tehHam uwezi kuzuia mafuriko kwa mikono@team KB
Nitazileta subiri nikae vizuri mpenzi niandike kitu cha maana.