Karibu ila kuna moderator ------ nahisi anataka nimtagie yai ndo aache kufuta comments zangu!
Soon atafanikiwa kunitoa jf ila hawezi kuyatoa mapenzi yangu kwa Kiba.
Kule kwengine ndo kwanza kumekucha na tunatoa dozi kama kawa.....sometimes I love FB!
Hahahaaaaa mito ujue nimecheka? Wangu ulimjuaje ilhali nilikua sijakutajia?
Wewe nae siku hizi ushakua hodari wa umbea mimi nasubiri. ..
Ila bora wangu balaa lake unaliona kuliko wako alikua kibaraka tu, tena kafa kikondoo...teh
Nangoja kesho tu mwanawane,
Nifunge dera nipite vile.
mi nipo nasubiria mwaliko tu 😛opcorn:
kwengine wapi huko @ave nijuze
Duku😱😱ni nini?
Ungekuwa wa kanda ya ziwa ungeelewa!
Zile kamba za katani zinauzwaga hata madukani
Karibu ila kuna moderator ------ nahisi anataka nimtagie yai ndo aache kufuta comments zangu!
Soon atafanikiwa kunitoa jf ila hawezi kuyatoa mapenzi yangu kwa Kiba.
Kule kwengine ndo kwanza kumekucha na tunatoa dozi kama kawa.....sometimes I love FB!
mi nipo nasubiria mwaliko tu 😛opcorn:
Kanunue na kudu ya kukazia dera lisije dondoka!
Wako nilihisi tu japo uligoma kunitajia!! Hahaaa ila hizi siasa acha kabisa nifah, sema tu ni ushabiki lakini yule wangu nilijua si rahisi kupewa kwani hakuwahi kufanya kazi na JK, hakuna rais anayependa kumwachia mtu nje ya cabinet yake. Ndo maana nilikuwa naenda nao wote 2 baada ya kuona wote wanauzika na wote ni wazuri mbele ya wananchi
Kichambo kikinizidia nitamwita serengeti boi wangu na mie aniandikie kichambo.
Sipati picha.
Eti kwani kuna mtu aliwahi kusema d ana beef na Davido??
Mbona mapashkuna yamewehuka?
As for me najua wote wasanii wetu ndio maana nina show love.
Shoga nashangaaje jamani? Ujue mpaka nawaona kama machizi?
Vijembe hivyo vijembe gani?Ushamba tu unawasumbua.
Mipashkuna ile inajifariji tu.Siku hizi naona imeacha kujichekesha maana ilikua inacheka vitu vinavyowachekesha havionekani!
Hakuna kitu kibaya kama stress, utalazimisha furaha ambayo haipo mwisho utaonekana chizi tu.
Yenyewe ndiyo ilikua inapaparika kutwa kuchwa kumponda Davido kuwa anakarishwa na huyo kyaichapati, sasa nashangaa wanajisahaulisha mapema ivo wanasutana na mawe eti kiko wapii, kiko wapi kipo uvunguni mwa naniliu!
Oneluv.
Oooh nazijua kwahiyo ni register ya kanda ya ziwa!