Nami niko poa kabisa best
Yaa mgombea wangu hakufurukuta aisee, ila hata huyu alikuwa wangu pia, japo huyu nilikuwa natamani awe PM ndo tungefaidi utendaji wake zaidi
Nami niko poa kabisa best
Yaa mgombea wangu hakufurukuta aisee, ila hata huyu alikuwa wangu pia, japo huyu nilikuwa natamani awe PM ndo tungefaidi utendaji wake zaidi
Hello Kiba Fans...ladies and gentlemen, nimewasije?
Napita tu jamani, tutaanza kuwa pamoja tena kama zamani soon. #WasionipendaWajiandaeMbayaWaoAnarudi
Karibu ila kuna moderator ------ nahisi anataka nimtagie yai ndo aache kufuta comments zangu!
Soon atafanikiwa kunitoa jf ila hawezi kuyatoa mapenzi yangu kwa Kiba.
Kule kwengine ndo kwanza kumekucha na tunatoa dozi kama kawa.....sometimes I love FB!
Kichambo kikinizidia nitamwita serengeti boi wangu na mie aniandikie kichambo.
Sipati picha.
Eti kwani kuna mtu aliwahi kusema d ana beef na Davido??
Mbona mapashkuna yamewehuka?
As for me najua wote wasanii wetu ndio maana nina show love.