Kwenye maisha kuna kubadili stragegy, Kiba ni mwanamuziki bora kabisa lakini nahisi watu alionao karibu hawamsaidii.
Unajuwa pale Ulaya kuna Christian Ronaldo na Messi kwa anayejuwa mpira anawajuwa hawa watu vilivyo na uwezo wao.
But/lakini kwenye tuzo za mchezaji bora kila mwaka anabeba Messi, Ronaldo anaishia kuwa msindikizaji tu.
Ila sasa ukirudi kuwauliza watu wa mpira wanaofatilia kweli mpira kati ya Messi na Ronaldo nani ni mchezaji bora watakwambia ni Ronaldo.