Ali Kiba Fans' Special Thread...

Ali Kiba Fans' Special Thread...

ah sasa usiombe aimbe kingereza utajuta ila yule jamaa mwingine akiimba maneno hayatoki

Hahaaaa hii lugha ya malkia ni shida jamani bora kuimba tu kiswahili mana wengine wakiimba hawasikii maneno wanang'ata balaa hadi ulimi.
 
Kuwa mtu mzima sio adi vu.zi lihamie kwenye paji la uso.
Jitambue acha utoto.
Usiwe una nimention popote.
NAKUCHUKIA KULIKO ATA SHETANI. SIKUPENDI KAMA KONOKONO.
jua ilo tangu leo na usini mention popote unanitia kichefu chefu tuu.
Ni hayo tuu

mi nakupenda... & i dont see any problem there, unanichukia??? hahahahaha duuuh hatari sana 💥👈

Usiwe hivo bwanaaaaa
 
Duuh Leo umeunga mkono hoja eeh Leo ijumaa sabato imeanza we n msabato nn😀😀😀

hapana mkuu mi sio sabato i am muslim u have to admitt it n accept in this peculier month
 
yani nasema hivi hili bifu haliwezi kuisha daimaa nakumbuka hata zito kabwe alishindwa kuwapatanisha kwenye kigoma all star sasa who can ruge hawezi mpaka ye mwenyewe apatane na jide kwanza ndo awapatanishe domo na kiba

utashangaa mwenyewe, soon mambo ya kitoto haya yataisha tu... Believe it or not....
 
Hahaaaa hii lugha ya malkia ni shida jamani bora kuimba tu kiswahili mana wengine wakiimba hawasikii maneno wanang'ata balaa hadi ulimi.

kazi kulia lia tu "hands accross the world pale alifunika hadi kaachiwa aanzee yeye kuimba sio mchezo #kibaaaaaa miakaa 1000000000000000000
 
kazi kulia lia tu "hands accross the world pale alifunika hadi kaachiwa aanzee yeye kuimba sio mchezo #kibaaaaaa miakaa 1000000000000000000

hio sio ishu kiivo, diamond alikuwa na ulimi mzito sana kwenye kikatoliki nowdays amekuwa fiti, hata hivyo mtangazaji wa habari ndio anatakiwa awe perfect ndio maana wakina sean paul wanaimba vitu havieleweki lakini ni moto wa kuotea mbali...
 
utashangaa mwenyewe, soon mambo ya kitoto haya yataisha tu... Believe it or not....

hata wakipatana mashabiki tunaliendeleza kama kawaida na hawawezi wakapatana hata yesu arudi na hata wakipatana ni kinafiki tu swali nani wakuwapatanisha????? #kibaaa
 
mi nakupenda... & i dont see any problem there, unanichukia??? hahahahaha duuuh hatari sana 💥👈

Usiwe hivo bwanaaaaa

At your own risk....i hate you so much.
Ata kwenye real life tukikutana jua nakuchukia tuu.
Sipendi unimention popote pale fanya kama vile hatujuani. Wa mention team ndomo na sio mimi.
 
hio sio ishu kiivo, diamond alikuwa na ulimi mzito sana kwenye kikatoliki nowdays amekuwa fiti, hata hivyo mtangazaji wa habari ndio anatakiwa awe perfect ndio maana wakina sean paul wanaimba vitu havieleweki lakini ni moto wa kuotea mbali...

kiba akiongea kingereza utamsahau ww check this one #rockstar4000
 
inapendeza, japokuwa lugha sio kila kitu cha muhimu kuwasiliana tu.... Ongea na cute b sio vizuri kumchikia mtu bwanaa daaaah namna gani tenaa.... Nimemuona king leo ameshika bango la #SAYNOTOXENOPHORBIA embu tulitendee kazi hili ...

tatizo nyie mnaboa kama vipi ongea na wenzako wawe na heshima walimtukana ndo maana wenzako xo waambie wapunguze matusi na cc ni binadamu one love cute b i will tell her
 
Last edited by a moderator:
tatizo nyie mnaboa kama vipi ongea na wenzako wawe na heshima walimtukana ndo maana wenzake xo waambie wapunguze matisi na cc ni binadamu one love cute b i will tell her

sawa mkuu..
 
Last edited by a moderator:
sawa mkuu..

mkuu kila mtu ana uhuru wakuchangia uzi wowote jf ila sasa nyie mnakuja mnatufanyia vurugu mnatukana mbona cc hatuwafanyii ivyoo jana mazigazi alimtukana matola sasa ndo nn mnaruhusiwa kuchangia ila sio matusi one love
 
Back
Top Bottom