Ali Kiba Fans' Special Thread...


Ukiona mtu anatumia muda mwingi kukujadili ujue anakukubali na amekuzidi uwezo.
Hawa wanamkubali kiba na wanajua kiba anamnyima domo usingizi ndo maana wanalalama.
Kwan wasanii si wapo wengi? Why kila siku ni kiba anafananishwa na domo and not barnaba?
 
Last edited by a moderator:

Hayaaaaaa chekecha cheketuaaaaa!!
Kizuri kinajiuza, kibaya........ malizia mwenyewe.
 
Last edited by a moderator:
😀😀😀😀😀😀 yule jamaa anajitoa copy hapo no DNA test the young unju ila kwa nn hawa team domo wanatuzarau kiasi ichi et atoto tuwachukulie hatua gani???

Aiiii kwani wanakulisha mpaka wakusumbue kichwa? We cheketua tu, hao ni kibiriti ngoma thats wht they know beta(to tackle yo atention) just ignore them,dont give them the atention.
Enough about them now, hayaaaaa chekecha cheketuaaaaaaaa
 
Last edited by a moderator:

true watu wa karibu na domo wanasema cku ya tuzo za ktma hakulala jamaaa kwa mawazo ila wanajifanya vipofu ngoja swaumu ipite tuone #abuy4realy #abuu99kiba n zabibu love
 

true watu wa karibu na domo wanasema cku ya tuzo za ktma hakulala jamaaa kwa mawazo ila wanajifanya vipofu ngoja swaumu ipite maana ni balaa
 
Anikome na akomae asinizoee.
Ana nimention mention ananijua? Apeleke ugonjwa wake wa kifafa huko kwa team ndomo.
Mambo mamy

Hahaaaaa huyo kashakoma tayari kwa hilo shushu inabidi anywe juice ya limao na ukwaju juu.
 

Ndicho hicho ninachokisemaga, ndio maana wanafanya juhudi sanaaa kupunguza atention yetu kwa Kiba, lets not give them that room now, lets focus on wht brought us here.

Hayaaaa chekecha cheketuaaaaaa.
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…