unajua kibani habari nyingine nimeenda u tube nikaona nyimbo mpya ya mr blue na navio lakini jina wameandika cheketua ila video sio ni ya blue ile mpya wanataka wapate viewers kama siku ile walivyobadilisha code za tuzo
Umeongea point dear walivoona video za u tube wakatamani na video yake iwe ya kukata mauno vibaya hadharani. Nashukuru kiba alikua mjanja hakuweka hayo mauno ka ya khanga moko mana ni kinyume na maadili na hapo pa kuchekechua pasingeonyeshwa.
Umeona eee kiba katisha bhanaa... sisi tunataka video zenye maadili kama walitaka za nyuchi imekula kwao kwa kiba no video za kunyegeshana au sio pwilo