Umeongea point dear walivoona video za u tube wakatamani na video yake iwe ya kukata mauno vibaya hadharani. Nashukuru kiba alikua mjanja hakuweka hayo mauno ka ya khanga moko mana ni kinyume na maadili na hapo pa kuchekechua pasingeonyeshwa.
tizama hivyo vibint,.. vinalike hata pumba. Em nipe kwa kifupi whats up with cheke. maana sikuwepo.
Lord have mercy..! La moyoni kwa Lupita wewe umelijuaje?
aise mi napenda ile slow motion na pale king anapomfuata kellyz mbowe kwenye gari hafu akashtuka kidogo halafu na abdu yupo mwishooni
Yaani yule demu anavyongesha hata mpenzi wangu cute b haoni ndani, halafu king naye yupo kwa nyuma anathaminisha msambwanda
sasa unapaniki nini wakati mimi niko relaxed.Ebu ita vizuri wewe jiheshimu hapa hakuna vibinti labda wa kwako hata tukitoa like wewe unaumia nini? Na wewe katafte vibinti vikupe like ka unaona ni rahisi.
Ebu ita vizuri wewe jiheshimu hapa hakuna vibinti labda wa kwako hata tukitoa like wewe unaumia nini? Na wewe katafte vibinti vikupe like ka unaona ni rahisi.
hapa nimetoka youtube hii video haichoshi kabisa. kingkiba ni noma sana
sasa unapaniki nini wakati mimi niko relaxed.
Aaaaaahhhh akiyananiiii kiba anauaaaaaaaa.
Ebu ita vizuri wewe jiheshimu hapa hakuna vibinti labda wa kwako hata tukitoa like wewe unaumia nini? Na wewe katafte vibinti vikupe like ka unaona ni rahisi.
Nadhani ni vizuri mngeandaa ambulance hapa maana it's not normal. Is hoooooooot.
Sio zege nazan kimejengwa na misumari ya jahazi
Teh (jus kidding )
Aaaaaahhhh akiyananiiii kiba anauaaaaaaaa.
Yaan mwanaume akiniimbia huu wimbo ata kama hana ela nitajikuta namwachia free p. Th Name niimbie sasa
Penzi alinipa mama nami leo nakupatia tena sitaki lawama penzi kiapo hakuna-
Mi ntakupenda sana mpaka wivu utakimbia nami ntalia na wewe mimi kwako nyanga nyanga nyanga-
Nini unataka mi nina miujiza nini unataka-
Ama ni maji ya bluelight sema nini unataka-
Nikugeuze Princess sema nini unataka
Unavyo biringa bayondo hivyo mi ndo nataka taka sana natakaa
Nini unataka mi nina miujiza nini unataka-
Nikugeuze Princess sema nini unataka
Siamini yaani siamini yamenipanda kichwani mahaba ya kuota sinitimi yamenikoleza mwilini
Siamini ooh siamini yamenipanda kichwani mahaba ya kuota sinitimi yamenikoleza mwilini
Aya chekecha
Chekecha (x11)
Aya chekesha cheketua cheke chekecha cheketua -cheke chekesha cheketua cheke chekesha cheketua cheke
Yeah uuh cheke chekecha -aah heyiiii-
Ama kweli ulikuwa unajisemea, kumbe swaumu imefika kichwani!! Haya ugua pole
Hayaaaaa chekecha cheketuaaaa