Ali Kiba Fans' Special Thread...

Uwiiiiiiiiii jamani nimeshindwa kuvumilia kwakweli! Sio kwa raha hizi alizonipa King Kiba kwa hii video tamu namna hii!
Hapa Iftari haipandi niko YouTube nairudia video kila mara kama mwendawazimu!
Iftari ya leo ni video ya my King Kiba....ayayayayaaaa.

Hao wapinzani wanaoiponda hii video wao ni akina nani kwa mfano? Sisi kama mashabiki wa King tumeipokea vizuri na tumefurahi saaaaana.
Watulie tu dawa iwaingie vizuri maana kila nikiingia YouTube viewers wanaongezeka kama mchanga wa bahari!
Miss you guys. ...nimeona sijitendei haki kama sitakuja kushare na nyie hii furaha yangu.
 
Lazima mjue kutofautisha kati ya pilipili na sumu...

Chibu ni sumu inauwa kabisa.. Mr Icon, Chibu dangote toto la kimanyema...

Hahahahahaha
 

Karibu mamy lol i mic yuu mooo
 

nifah mic u campain manager #teamkiba
 

i missed ur actions my nifah
 
Last edited by a moderator:
Lazima mjue kutofautisha kati ya pilipili na sumu...

Chibu ni sumu inauwa kabisa.. Mr Icon, Chibu dangote toto la kimanyema...

Hahahahahaha

oya wakati mwingne uwe na heshima heshima ni kitu cha buree #umeskia
 

Hahahaaaaa yaani nifah yaani ungeacha hii video ya mwaka ipite bila kutia neno wallah nisingekuelewa, hao walikuwa wanasubiri waone maghorofa ya k.koo sasa hawajayaona wameumia maana hata k.koo hawaijui walitka kuosha macho, the video idea is veryyyyy facinating, kitu old school flani amazing yaani duuuh King kaniweza hatari.
 
Last edited by a moderator:
Karibu mamy lol i mic yuu mooo
Miss you more my cute b.Nakuonaga na hua unanifurahisha sana, wewe ni kiboko yao mama.
Kimbiza sana wakaanga sumu hao...lol

nifah mic u campain manager #teamkiba

i missed ur actions my nifah

Acha tu, ila nawakubali maana mabalaa mnayoyafanya sio kabisa.Naona mtaa wa pili wanaweweseka sana mazee...
Ila na wewe uache tabia yako ya kuwakataza wenzio wasiwape wapinzani dawa zao, labda kama ukiona wanatoka nje ya mstari...
Ila hivihivi...acha matibabu yaendelee!
Heheheheee
 

Hahahaaa miss you too honey.
Ile siku ningekaa kimya nisingemtendea haki Kiba japo kacomment kalinyofolewa na sijui kama kalirudishwa.
 

Jamani my dear nifah nilikumicje sasa jamani at least umetia timu kusherekea chekecha aisee.
Sio tu mamluki na wanafiki juu watuachie kiba wetu.
 
Last edited by a moderator:
nifah karibu tena my sister. tuburidike na chekecha video
 
Last edited by a moderator:

Naanzaje sasa jamani? Ujue hadi navunja agano langu la kuingia humu ujue nimeshikwa kwelikweli.
Kiba kaua jamani, hasa pale anakocheza na yule mdada mwenye tight na kipensi cha blue bahari...
Yalaaaaa ngoja nisiseme sana maana huyu King anataka kuniharibia ibada yangu, sio kwa MATUSI yale mazuri aliyoyafanya.

Hao wapinzani nachekaje mnavyowapa za uso jamani? Uwiiiiiii sijawahi kuona fans wa Kiba wakinipa raha kama kwenye hii video.
Kuna sehemu Shardcole, unanitaka kalou Abou Saydou cute b Avemaria Ms.Lincoln peterchoka pwilo wananipa raha balaa.
Nimewapenda buuure pia Revokatus Kashaga na wengineo..

Wanachonichosha zaidi ni wanavyosema walitegemea makubwa...khaaaaa wanategemea makubwa wao kama akina nani?
Halafu kumbe King anawapa pressure hivyo?
Hawajui tu vile wanajivua nguo kwa mihemuko yao.
 
Last edited by a moderator:

Mie nakwambia King asipokuwa makini atatuulia watu kweli tena, wanatarajia makubwa waliambiwa BRN hii, sasa km huku hakuna cha maana mbona tunashinda nao na kuamka nao??? Watupishe huko waende huko kwenye makubwa ya wiki moja, hahahaaa huku ni makubwa yanayodumu daima, hapana chezea.
 
Last edited by a moderator:
Hahahaaa miss you too honey.

Mimi lile vuguvugu lilivyoanza Wallah kidogo niingie humu.

Sio kwa kuponda kule alikokua anafanya Abou Saydou na wenzie.

Shukrani kwa atoto maana alikua anamkataza kila alivyokua anazidisha.

Kiukweli Abou Saydou ulinikera mnooooo mdogo wangu, bahati yako tu sikuwa huku la sivyo tungegombana.

Hadi nikasusa kuwachungulia humu siku 2 baada ya kuja nikakuta upepo umetulia na wewe umegongelea nyundo zako nilifurahi sana.

Sio vibaya kusema ukweli ila kule wenzetu walizidisha, sio kihivyo jamani!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…