Habari za kuamka, ushapiga mswaki lakini
Hahahaha nafurahi kusikia kwamba mi na wewe tunakaa hapa mwananyamala kwa sababu umemjuaje kama wewe upo nje ya mwananyamala???? Karibu chama kubwa mzee.
Nimeamkaa mda sn coco si unajua mwisho wa mwezi huu nilikuwa bize kufanya mambo flan ya balance sheet za biashara zng 😀😀 vp we umekunywa hata chai Leo au ndo unajifanya umefunga kumbe una ela
Hahahaaaa! Huna elimu ila unaona mbali ukiwa nayo sijui itakuwaje, hebu tukajiunge kasatifiketi fasta, vp ulishamaliza qt???
#chekechacheketuaaaaa
Nimeamkaa mda sn coco si unajua mwisho wa mwezi huu nilikuwa bize kufanya mambo flan ya balance sheet za biashara zng 😀😀 vp we umekunywa hata chai Leo au ndo unajifanya umefunga kumbe una ela
Hata anajua basi maana ya balance sheet.!!
Hahaaaa nilijiunga nikafeli ngoja nijiunge tena hahahah
Hata anajua basi maana ya balance sheet.!!
Hahahaha sawa kende naona njiwa wanauzika sana mwezi huu.
Kazana bwana mwenzio hatimaye nimepata vi D viwili sio mchezo, nakimbizia setifiketi ila nasubiri mabilione wanichangie ada, nashangaa wamekaa kimya hata mchango hawatoi, waache uchoyo wawe wazalendo au hawataki wasomi tuwe wengi jamani!!
#chekechavideovibes
Kumbe coco shuleni ulifeli kwann sasa :what:
Uzalendo wanaujua?? Hao ni wachoyo na wakiona unakarbia kupata kasetifiketi tu lazma wakufungulie thread ya kukatisha tamaa, si unaona jembe kiba linavyofanyiwa humu? Wanataka watoke wao tu, sie tubaki na ujinga wetu
Jamaniiii Ali Kiba ni shiiiiiida!