Heheh dude itakula kwake.
Chekecha ndio video ya watu inayosubiriwa kwa hamu.
Hata kama ikiwa mbaya (just in case ni kwa mfano tu) lazima itamzima tu or else asubirie youtube viewers wake wakiintaneshno!
nakwambia hiyo chekecha yenyewe alipewa ofa na abuu dady baada ya kuvujisha nyimbo zake angalia balaa lake lile na hakuwa sirious lakin sasa hiyo collabo ya bella inatoka na video pa1 #teamkibaaaaaa
Kwani wana mwingine wa kumchokoza mji huu!!a
#chekechavideovibes
kabla haijatoka ina viewers 8k ikitoka je #teamkiba
Hahaaa na kweli yaani ni balaaa, namkumbuka yule alosemaga mwana ikifikisha viewers laki anajinyonga, sijui alifia wapi
Hahahaaaaa!! Nimecheka kwakweli
Eeeh si viewers ndo kiburi chake! Teh
Na ndio logic yao ya kujaji kila kitu
Ale chekecha cheketuaaa...
Najisikia princess hapa.
Hivi yule mjomba wa Kiba anaemwandikia
nyimbo zake anaitwa nani?