Ali Kiba Fans' Special Thread...

Atunge toka kwenye maini kabisa, mwisho wa cku anakufa maskini
 
Ally Kiba anajua kutiririka na maneno na kuchombeza vionjo pasi na kupoteza maana.

Mfano:
Siamini siamini yamenipanda kichwani
Mahaba yako tasiliti mi yamenikoleza mwilini.
Siaminiiiii(anavuta na long i) siamini
yamenipanda kichwani
Mahaba yako tasiliti mi yamenikoleza mwilini

Haya chekecha chekecha (nyongesha) chekecha chekecha
Haya chekecha cheketua chekecha chekecha cheketua ( )
 
Hahahha basi basi mtaa wa pili watakopi bana
 
Alaf mnajua nimenotice kitu hapa yaani kuna page kama tisa kumi hivi tunamzungumzia Domo, hii inampandisha domo kana kwamba cc hatuna cha kumzungumzia our King. Au mnaonaje wakuu kwani bila kutaja Domo humu kijiwe hakiendi?
 
yule fundi sana #kingkiba
 
Alaf mnajua nimenotice kitu hapa yaani kuna page kama tisa kumi hivi tunamzungumzia Domo, hii inampandisha domo kana kwamba cc hatuna cha kumzungumzia our King. Au mnaonaje wakuu kwani bila kutaja Domo humu kijiwe hakiendi?

tatizo wanapenda kushinda humu kule kwao hakuna jipya
 
Aiii ulijuaje km ndio wimbo ninaosikiliza now, viva king
 
Alaf mnajua nimenotice kitu hapa yaani kuna page kama tisa kumi hivi tunamzungumzia Domo, hii inampandisha domo kana kwamba cc hatuna cha kumzungumzia our King. Au mnaonaje wakuu kwani bila kutaja Domo humu kijiwe hakiendi?

Kaangalie kwao kwanza alafu urudi tena, na angalia kwann kaongelewa domo humu utagundua kitu, ila only if u read btn lines, something that i doubt.
 
hahahaha ila wanaboa sana

Wale mioyo yao imetuzimia ndio maana kila siku lazima waje watusalimie hahaha!! Salam zimfikie kende a.k.a kendrik na mchimvi mswazi mwenzie, beseni pana a.k.a banseni bana haaaahaaa!
 
Ebwanaaaa eeeh! Huyu ndo King yani mashairi matamu balaaa.
 
Wale mioyo yao imetuzimia ndio maana kila siku lazima waje watusalimie hahaha!! Salam zimfikie kende a.k.a kendrik na mchimvi mswazi mwenzie, beseni pana a.k.a banseni bana haaaahaaa!

wakija huku naona ndo wanafarijika sana. kingkiba ndo our best.
#kingkiba
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…