Tafuta mwaya tuondokane na huu umasikini waliotukaba nao koo hawa mapupu, hii video huwezi amini ni most awaited video watu wanaingoja kwa hamuuu waanze kufungua nyuzi mia mia, hahaaaaa km nawaona washaandika script zao wanangoja kukosoa tu.
Ndo kukosa kazi huko unaweza kukuta watu wachache wana I view kila sasa. Je yule mkorea aliye vunja record ya kuwa na viewers billion moja kwahyo ni bora kuliko wasanii wengine.
Tatizo wanafanya kila kitu kwa mashindano huyo domo kwa Davido atasubiri sana si kielimu wala mkwaja wala family level na background yake. Aiendelee kujidaganya. Davido made him famous.
ila hawa jamaa kweli hawajielewi siku ya tuzo walisema diaomond anapendwa kuliko kiba et kisa domo anafollower wengi wakati mziwander kampita richmavoko followers 167k ,57k respectively hizo ni akili kweli ila wale globalpublishers ndo wanasababisha yote hayo #team kiba
Uu Uzi utawaua bure na huyo domo wenu jiamini sio kutuletea uswahili wenu hii ni forum wamezoea kwenda kutukana kwenye page ya Davido sasa mnafikiri JF ndo mtaiweza.
Sisi ndo die hard fans kisiki cha mpingo wamekuja wenye mashoka wameshindwa nyie wenye mapanga mtaweza.
Teh teh teh andikeni neno jipya ila Yale Yale hamna jipya.
Useless ba.nc.h of fools
Kuna wakati reasoning yao huwa inanifanya niwajue ni watu wa aina gani, kila kitu kwao ni mashindano hawa watoto, ndio maana niliwapuuza since day one.
Kuna wakati reasoning yao huwa inanifanya niwajue ni watu wa aina gani, kila kitu kwao ni mashindano hawa watoto, ndio maana niliwapuuza since day one.
et wameanzisha thread ya viewers davido kashindwa domo hizo ni akili kweli halafu wanasema cc tunachukulia vitu sirious #teamkiba
yaani nashindwa kuelewa kwann wanashindwa kuwa ignore hawa viumbe
yaani nashindwa kuelewa kwann wanashindwa kuwa ignore hawa viumbe
Kuna muda inabidi wadeal nao hivyo maana wanavuka mipaka, washazoea fujo za insta now wamezihamishia humu, utafanyaje ss na ndivyo walivyo(huwezi badili rangi ya ngozi)
ila hawa jamaa kweli hawajielewi siku ya tuzo walisema diaomond anapendwa kuliko kiba et kisa domo anafollower wengi wakati mziwander kampita richmavoko followers 167k ,57k respectively hizo ni akili kweli ila wale globalpublishers ndo wanasababisha yote hayo #team kiba
peterchoka wale teammondi wanaboa sana ila kuwa ignore ndo best way iliyobakiyaani nashindwa kuelewa kwann wanashindwa kuwa ignore hawa viumbe
peterchoka wale teammondi wanaboa sana ila kuwa ignore ndo best way iliyobaki