Oh no, Mi baada ya kuona uwanja umechafuka na kunuka damu nikaacha busara zangu kwa geniveros na Ms.Lincoln yule sis mwingine (nimemsahau jina) nikaona ndo kachafukwa balaa ndimu haifanyi kazi..!! kucheck kwako nkaona kimya nikajua umeelewa hivyo sikukushitua... maweee kumbe wenyewe washakukimbiza Segerea..!! Narudi siku ya pili na ya tatu nauta kimyaaa.. nikawanajitokea hivi kinyoooonge....
Ooh kumbe nifah yuko macca? duh halafu nasikia wao huwa hawaombei, ningeomba aniombee na mimi..!! Angalia momiee nawe usijeenda kule.. hali itakuwa mbaya hapa..!! Miss u too wane..!!
BACK TANGANYIKA
hahahahahhahahahahaha....Mkuu....Lazima ma celeburity wetu wanufaike na kazi zao
Huyu ni MFALME......
Lazima ninyi mashabiki wake mhakikishe MFALME wenu anapata mafanikio kutokana na kazi zake
Sio kulazimisha umaarufu wa kizoba...hana hata hela
Au mchangieni ajenge nyumba
Mna uhakika gani kwamba hiyo taarifa niya kweli
Ha ha ha!
Tupogo na roho za paka hapa.
Roho ngumu kama mwamba wa chuma.
mamii cute b JF waweza kuingia bila bundle ndo maana siku unaona wanafunzi wengi
Oh no, Mi baada ya kuona uwanja umechafuka na kunuka damu nikaacha busara zangu kwa geniveros na Ms.Lincoln yule sis mwingine (nimemsahau jina) nikaona ndo kachafukwa balaa ndimu haifanyi kazi..!! kucheck kwako nkaona kimya nikajua umeelewa hivyo sikukushitua... maweee kumbe wenyewe washakukimbiza Segerea..!! Narudi siku ya pili na ya tatu nauta kimyaaa.. nikawanajitokea hivi kinyoooonge....
Ooh kumbe nifah yuko macca? duh halafu nasikia wao huwa hawaombei, ningeomba aniombee na mimi..!! Angalia momiee nawe usijeenda kule.. hali itakuwa mbaya hapa..!! Miss u too wane..!!
BACK TANGANYIKA
Times FM wametoa namba ya kumchangia king Kiba wameweka kwenye website yao,ntaiweka mda is mrefu,tumpe sapoti king wetu angalau apate sehemu ya kujihifadhi mda huu,kutoa ni moyo wakuu chochote kile Mungu atawabariki.
King without a mansion dadadeki
+Mkuu huko insta ulitembelea kweli au ulisimuliwa, ni wapi Salam alisema management ya alikiba wapi Kiba katajwa kwenye post ya meneja:what:alafu nilitembelea insta nilikuta uyo meneja wa Mondi wanamwita salam kwenye ukurasa wake watu wamemlipua kuhusu ishu ya ROCKSTAR4000 KUIBA NYIMBO YA MONDI maana Hajiheshimu nahii inaonyesha anapenda bifu liendelee kati ya kiba na Mondi, maana kulikua na sababu gani ya kusema management ya alikiba?..kwani rockstar4000 ina mmanage kiba peke yake??...na ni kwanini amuhusishe msanii mmoja na ishu ya kampuni kama sio kumchafulia kiba tuUu???
Imetolewa na vyombo vya habari ambavyo hua vinatoa habari zingine zote ....na yeye amenukuliwa akikiri
Acha uzushi wewe...niletee sasaivi fasta ushahidi wa sauti au video zikionyesha kiba amekiri kufukuzwa???,wakati amekanusha izo taarifa kule bongo5 na amesema "anashangaa uzushi unaozagaa eti amefukuzwa wakati bado yupo na familia yake kwenye iyo nyumba",ila Mimi nachojua tu kiba ile nyumba amepanga sio yake.