Ali Kiba Fans' Special Thread...

Alikiba amekataa ombi la kwenda kujihifadhi kwa jokate,amesema nyumbani kwa mama yake kuna mpa faraja na amani zaidi#source E-FM
 
Hizi tim zinawapunguzia watu akili ya kufikiri.

Wewe huna team?
Kwa mfano umekaa na mimj.kwenye daladala, ukaona nalog in kwa this user name, nadhani wewe blogger utanisukumia hata dirishani.
This is how team d are low.
 
Last edited by a moderator:
Wewe huna team?
Kwa mfano umekaa na mimj.kwenye daladala, ukaona nalog in kwa this user name, nadhani wewe blogger utanisukumia hata dirishani.
This is how team d are low.

Hahahaaaaa!!!
 
Last edited by a moderator:
Ni tukio la kihistoria baada ya mahasimu wawili kutokuwa na maelewano mazuri kwenye kazi ya music sasa wakutana! Tusubiri collabo

 
Wee
Mi napenda umbeya, ila wake huyo ni ushankupe na ushakunaku na upashkuna!
Wala haunogi

Hahaaaaa huu wake hata haunogi, akautafutie nyama nyama kwanza ndio arudi, alafu km wamepanik hv, sielewiiiiiii!
 
Kiba ni balaa jana kwenye daladala alikua anazunguka jijini alijisifu yeye ni mkali sana na kumlinganisha na diamond ni kumdhalilisha labda diamond ni level ya mwanafunzi wake abdu kiba, na akasema akiamua kuimba style za ki nigeria kama diamond atatikisa dunia nzima bali anadhamini mziki wa kitanzania.
 

una ushahidi ndugu, usimlishe maneno
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…