Hahahaaa atoto umesikiaa? Ujue roho inaniuma sana napita na peterchoka njian anageuka nyuma anakuangalia alafu anakusifia na mimi nipo.
Ila sio mbaya.
#onelovepeterchokahuainatokeatuu
Very true i do appreciate him kwa kweli hana mambo ya ajabu yani u can even argue with him.
I do respect him na siku zote hu comment vtu vilivyo enda shule. That's a real man anavotakiwa kuwa.
Kwa kweli nahamu na huo wimbo sana tu tena akianza Christian Bella na ile sauti yake uwiiii ngachoka na kiba pale ndo usiseme. Sijui watautoa lini.
Hakunaga ka Kiba na Bella kwenye sauti. Mtu wao sauti huwa haitoki kila wimbo anahemea ndani kwa ndani hata haeleweki.
Wataogea acid mwaka huu. Apo nyongo zinawapanda maana wapo apa wanafatilia kila tunacho andika duu kuna watu hawana kazi kwel
Hahaaaaaa cute b mbona na wewe umeniua na aiiiiiiiii wimbo mzima hauna maana yoyote. Teh teh teh aiiii anavuta pumzi you know chezeiya le kuhemaz kama bataz plasi ujanja ujanja.
Teh Teh nikulete Uganda &Tandale....Ã-Â-½Ã-ºÂÃ-Â-½Ã-ºÂÃ-Â-½Ã-ºÂÃ-Â-½Ã-ºÂ
Hahahaaaa!! Nilisoma nikagundua tu kajichanganya nami nikajifanya sijaona, usione wivu mamii ukiona hivyo ujue yaliyomo yamo, km majirani vile ambavyo Kiba hawakauki midomoni.
Watu wanachukulia ushabiki too personal sana tu. Kwa wengine waelewa hushindana kwa hoja wengine wamezoea vigodoro.
#ladypeacemaker .
done done best collabo of the year inakuja hiyooooooo #kingkiba #abdu kiba #zabibu92kiba #abuuu 99kibaa #abuuu dady $kebekebe
cute b huyo muhandishi haoni aibu hata ka mtu hupatani naye huwezi kusema hayo maneno hadharani. Aibu yake watuachie Kiba wetu. Jitu zima linataka kugombanisha wasanii.
Bora kiba kakanusha
Tena mwingine kishazoea vigodoro na vibwebwe vyao wanahisi muda wote watu wako kwa vigodoro ni fujo tu!! Aiii watu wana taabu
Hahahaaa tena umenikumbusha kukugea ubuyuu wa.... nazani utakua umemwelewa wa kule kwenye uzzi wa watu tuliouvamia.
Ila soma kwanza iyo ya king api chin
cute b unajua hata wao walishadadia tu ila wanajua kabisaaa ktk mioyo yao King hawezi kutamka hivyo, kuna mtu nakumbuka alikurupuka akajichetua eti "kiba namjua na hayo maneno hayajaongezwa chochote", mazafantaz zake, angekuwa anamjua angejua kuwa Kiba hawezi tamka hayo, ila akataka kumchafua tu,
#mtashindanalakinihamtashinda in mzee wa upakoz voice
Walibwabwaja apa kama wanakufa kesho aya leo waongee tena. Wanatafuta bifu na kiba wameshindwa sasa wamehamia kwenye kampuni.
Aiii.... watashindana lakin hawatashinda.
Nipo sana huu uzi hadi tuzo ziishe yani nipo sana....na msiogope kuniquote usioongee kipembeni say no to uoga!!!!