sawa cster ila kule kwenye thread katutukana sana huyu jamaa ila ngoja nimuache kwa heshima yako dada angu #KINGKIBA
Nadhani pia sio sahihi kusema reaction ya mtu mmoja ni reaction ya kundi zima....Tunatofautiana sana katika namna tunavyotazama mambo...haijalishi ni mshabiki wa nani.....mfano unaweza toa comment ambayo labda chige aka react.....sasa kuchukulia reaction ya chige kama reaction ya kundi zima sio sawa....
Pia naamini hakuna aliye mkamilifu...si diamond...si alikiba...wala si sisi mashabiki

Uwiiii wapi tena?? Mie kwenye thread za kipuuzi za wapuuzi hata sijihangaishagi kwenda, kati ya majukwaa ninayoingiaga kwa nadra sn ni celebrity tena inaweza ikapita hata wk, maana ni nadra sn pakawa na cha maana cha kuongelea(no offence)
Kikubwa kilichonivutiaga ni huu uzi wa Kiba aisee maana Kiba ninavyompenda nilipoona kitu kizuri km hiki kimeanzishwa nikatia timu.
tatizo lenu hamjiamini, kuna mmoja nimemwona kafungua uzi kudiss MTV Awards, bila aibu mnamkana, ninyi ni wanafiki sana Freeland
Na wakija huku ni fujo tu, sijui wanekula mabumunda ya wapiiii!!
Hawajui hii ni royal family?
😀😀😀😀😀😀 et mabumunda umetisha unajua huo msosi kumbe ila hawa jamaa mi siwaelewi kwann wanatutukana hafu bila sababu et cc ni misekule na ma x wa diamond (domo) dah ok #goodthing are coming%
Acha nami leo nichangie kidogo. hapo dogo msameheni tu kwa upeo mdogo. Kama kuna possibility ya kukopa na kujenga nyumba kwa nini ujenge kwa kutumia your own cash? kuna mdada humu huwa anadis kwamba watu wanakopa ili kutengeneza video. Kwangu mimi sioni ubaya maana hiyo ni business strategy nzuri tu as laong as umefanya hesabu zako vizuri ukaona una uwezo wa kurudisha mkopo baada ya mauzo
Tunatakiwa kujua hata wafanyabiashara wakubwa matajiri kama kina mzee Mengi wanaendesha biashara kwa kukopa. La muhimu ni kwamba uwe na sifa za kukopesheka, na uwezo wa kurudisha mkopo. Kujenga na kununua magari ya kifahari kwa own cash kunarudisha nyuma maendeleo ya nchi hii. Kopa jenga nyumba, cash yako invest kwenye biashara, faida unayopata rudisha mkopo.
😀😀😀😀😀😀 et mabumunda umetisha unajua huo msosi kumbe ila hawa jamaa mi siwaelewi kwann wanatutukana hafu bila sababu et cc ni misekule na ma x wa diamond (domo) dah ok #goodthing are coming%
Shika adabu yako wew kwamba wew unafaida sana? Mimi ni mbaya kuliko ata shetani kama ulikuwa hujui.... una kingine kama unacho sema! Mimi ndo mimi bhana maneno yako hayo ni kama ushuzi yanapita tuuu.
Chawadita