Unajua wakuu nyie mnakosea sana. Maneno yenu yamejaa kejeli sana mtanisamehe lakini.
Mi muda wa kuacha kufanya jambo ili umuumize fulani tunaenda na fact na kama huna cha kuchangia unaweza mkanyamaza. Maana hatujawafata kwenye uzi wenu hapa tupo kumshauri kiba na nazani mnaelewa sasa mnavyoleta maneno yenu ya kashfa ni wazi mnataka ligi za kijinga tuu. Acheni izo wakuu nyie ni wanaume maneno hayo waachieni akina dada. Mbona Freeland yeye anaandika anaeleweka na ndo kazi ya mwanaume iyo au nyie sio wanaume?
+Yeah ni kweli mkuu pande zote mbili zinahusika kupigana madongo na kutukanana.
+unajua mimi mwanzo nilikua najua hizo team ziko kwa ajili ya utani wa jadi tu kwa sababu sisi wabongo tumezoea kutaniana, lakini hii inshu imekua serious sana hata kwa jambo linalohitaji kuungana kwa hizi teams ili kuusogeza mbele mziki wa bongo.
.
kwanini "ndomo" unashindwa kumuita chibu au mond?
Huyo Freeland alotuita malaya, kisa tunapingana nao, huyo freeland anayetukanaga kama mbwia unga?
Nakumbuka nilimjibu kama mimi malaya nimewavuruga kuanzia yeye, babake na babu yake....
Vitu vingine sio rahisi kusahau.
Leo anamquote malaya sasa sijui anataka huduma?
kibaka, kibakuli, kibajaji
Huyo Freeland alotuita malaya, kisa tunapingana nao, huyo freeland anayetukanaga kama mbwia unga?
Nakumbuka nilimjibu kama mimi malaya nimewavuruga kuanzia yeye, babake na babu yake....
Vitu vingine sio rahisi kusahau.
Leo anamquote malaya sasa sijui anataka huduma?
Kwani mnavyomuitaga kiba yale majina yenu huwa mnashindwa kuita Kiba?? Au ya wenzenu tu ndio mnayaona?
Nashangaaa sana hafu hyo Malaya huwa anaikazania kama defence mechanism yake.
Wakishindwa hoja wanaume ukimbilia kutukana. Kwangu watu kama hao ni weak and shame mana hamna tusi jipya.
Alafu kumbe ni mwanaume??? Aiii basi ndoho taabu(cjui nimepatia?)
Utakuwa unawasingizia mama tangu lini watakatifu wakatukana??
Kwao ni Sawa ila MTU wao akiitwa chai jaba inakua nogwa. Ukiwa shabiki wa kitu lazma kujifunza Ku ignore