Pionaire ndomo hakoseagi bwana, tangu lini mtakatifu akakosea, he is perfect hawezi ongea hayo, hahahaaaaaaa!! Waje tena wasema ni global, uwiiiiii Kiba hebu piga kazi unipe raha mie
Hivi hiyo Rockstar4000 mbona jina kubwa alafu ovyo, kiba kiba video tunataka...
Jamani labda tujikumbushe kidogo bifu kati ya KIBA na MONDI liliaanza muda kidogo,na hao mnaosema hawajawai sikia shits za mondi juu ya kiba ni waongo kabisa au hamjui tatizo lilivyoanza...kwa ufupi pindi KIBA yupo nje mziki MONDI alishaongea vitu vya dharau vingi juu ya king mfano huo hapo chini,na ikumbukwe apo ndo ilikuja sababisha kambi ya kiba(vijana wa k.koo) wakaendaga kumpiga mondi na mayai viza club maishani alikokuwa anapiga show kipindi cha nyuma ata bado haja hit nje ya TZ,naona watu wamesahau hili na wengi nimegundua wamelishtukia bifu limekua kubwa ila hawajui chanzo coz nimeona ata kule kwenye jukwaa la burudani kuna mdau aliuliza nini chanzo cha bifu hasa kati ya hao wawili,Ok!..that's how it was,lakini haikufahamika kwanini MONDI aliamua kuonyesha dharau kwa mtu ambaye alikua ametulia kwenye game kwa wakati ule?
View attachment 262480View attachment 262480
Je ni kweli ilo jibu la alikiba kule Twitter ndo limemfanya atoe shit kama iyo?,na kulikuwa na ulazima gani wa yeye kufikia huko? Maana kama mtu amesema hataki kuimba nae Si basi tu na haina ulazima.
Baada ya kauli hizo za platnmz kuenea msanii bonge la nyau alimpa makavu yake fasta.
View attachment 262495
Sasa kama mtu amekopa ili ajenge nyumba yake yeye ilimuhusu nini labda kwani kukopa dhambi?
Na katika hali isiyo ya kawaida msanii OmmyDimpoz(kipindi icho alikuwa best wa MONDI) alivyhojiwa kuhusu MONDI na KIBA naye akamkandia kiba kwa kusema jamaa ameisha hana jipya wakati kiba ndo alimtoa kwenye ile collabo ya nainai.
kweli mkuu...hata mimihua nayapuuza ...mfano ile habari yao ya kipuuzi kuwa mimba ya zari ni ya katunzi
Huwezi jua labla r.Kelly hataki ujue sio kila kitu kiba atakiweka public mkuu
Hapo sasa atoto,kwa iyo wajue wazi kuwa kiba hawezi pambana na mtu ambaye haja request battle,kijana MONDI alilianzisha mwenyewe jamani,alafu embu tutafakari hapo je kiba angetoa naye collabo...ni nani angepata kiki kati ya hao wawili ni yeye ambaye angejisifu kuwa amemuinua msanii wa muda kwenye B.fleva au kiba ambaye angekandiwa kuwa emerudi kupitia MONDI?...kutokana na tabia ya MONDI ya kujisifu KIBA alikuwa na kila sababu yakukataa kuimba naye kisha akaja toka na single yake menyewe ya MWANA iliyokubalika vizuri tu,alafu kuna sehemu humu nimeona diva Beyonce akielezea unafki Kwenye hii industry ya muziki wa B.fleva...yani alichokisema hakukosea kabisa embu ona OmmyDimpoz juzi tu Kwenye tuzo za KTMA alipiga picha na tuzo za KINGKIBA wakati alimpondaga huko nyuma kisa alikuwa rafiki wa MONDI haya sasa now haiivi na ata uyo MONDI mwenyewe...wewe umelionaje hili?..kama vipi mfungulieni Uzi wa kumchamba jamani ama neneee?..wote kwa pamoja(TEAM MONDI na TEAM KIBA) mumpe vidonge vyake...maana alimdharau king wakati ndo alimtambulisha Kwenye B.flavour kupitia track yake ya NAINAI,alafu akabugi kutokana na wema wakati alikuwa shemeji yake kwa MONDI... Huyu jamaa Mimi simuelewi kabisa asee.
Nyingine hii...ila watu na mahaba yao.Hawawezi kuona ubaya
Umewah kuwaamin global?
Nyingine hii...ila watu na mahaba yao.Hawawezi kuona ubaya
am reaching out to the poor people, the sick and the alones!
Kiba alipohojiwa na Bdozen kipindi anatambulisha Chekecha Audio, alisema kuwa no# ya R.Kelly anayo huwa anawasiliana naye, mara nyingine kiba humtafuta Kelly na mara nyingine Kelly ndo humtafuta Kiba, pia akaulizwa swali, je mara ya mwisho ya wewe kuongea na R.Kelly ni lini? Kiba akajibu kuwa 2 weeks ago.
Sasa hapo mi nikabaki na maswali kichwani, mbona kiba hatumii hizo fursa?
Hii Rockstar4000 ni kampuni ambayo iko partner na Sony Music hawa wako international sana japo wanajitahdi kuinua vipaji vya africa yan local artist lkn wamefail cz wako kizungu zaid na prosess zao ziko slow pia nahisi wana mlimit sana msanii akiingia nao mkataba. Kiba anashindwa kufanya kazi the way anataka kwa speed. Hawa Rockstar400 ndio walimfelisha Rose Muhando pia sawa ukiingia nao mkataba wanakupa pesa bt hawajui soko la East africa au africa kiujumla naona wanashindwa kumsaidia msanii. Rose muhando alitoa Wololo video alishoot SA na album bt ilifeli sokoni nw kapotea. Hii management sio nzuri Kiba atambue hilo
Usintie machungu mie!
kweli mkuu...hata mimihua nayapuuza ...mfano ile habari yao ya kipuuzi kuwa mimba ya zari ni ya katunzi
Kosa lake ni mtakatifu sana hafanyi makosa kabisa.
Si waliandika diamond kasema Ali kiba anakula makombo kwa jokate na tuka amini.
alafu usihofu bwana mondi si alishapima dna wakajua mtoto ni wa kike(😉😉)
njoo useme kiba kazingua hapa na hapa