Sikiza pwilo nikwambie.
ALI KIBA HATUTENDEI HAKI MASHABIKI WAKE.
Kama huoni hilo basi wewe una mahaba mpaka mahaba yanakuogopa.
dah c nimekubali jamani post zilizopita wadau au kosa nikusema tusubirie swaumu ipite mtafrahi hahahaha just relax my fellow fans $kebekebe
Kweli mkuu hizo collabo nasikia zipo.
Ila mfano iyo yake na fally ipupa toka mwaka jana naisikia tu
Hatusemi hana kipaji, hatusemi ni mbaya.Sijui kati yake na watu anaofanya naye kazi nani anamrudisha nyuma.
Angetumia mtaji huu wa kuwapa fans kitu wanachotegemea hakika angepata faida kubwa sana
Fans are powerful resource. Sisi ndio wateja wake.
Angejiongezea fans na umaarufu.sasa yeye anafanya vitu jama yupo kwenye ulimwengu wake.
Hakuna mashabiki loyal kama sisi.Wengine wanatuita tuna roho ngumu...wapo sahihi.
kweli ulilosema.. Ila ninapenda upendo wa mashabiki kwake ni vizuri sana.... muda mwingine huwezi jua kinachoendelea nyuma ya pazia patience is all that counts...
Nadhani muda wote huu atakuwa anajifunza kitu, na sidhani kama anaridhika na attention ya watu tu...
tulieni alete vitu au mnataka akurupuke hadi aimbe mduara msimfanyie hivyo ila ila kiba jeuri sana mpaka cabosnop amechoka kukaa na kollabo yake #kebekebe
Yani hizi roho ngumu zetu ni mtaji tosha sana
D ana uwezo mkubwa wa kutumia situation at his advantage.
Kawaacha richgang na offer yao wamepita tu.
Ukiwa mfanyabiashara ya muziki unakupaswa uwe mjanja kama mangi aisee.
Team wema sio watu wa kuwategemea.
Angewatumia kibiashara muda huu kabla hwajamgeuka.
Asifanye kosa la kuwategemea akumbuke mwaka jana na juzi waliku haters wake.
duh! I believe he will overcome someday, kama tulivyotoa ushauri akarudi, pia tutoe ushauri wa kumjenga
IMPOSSIBLE IS POSSIBLE
Unaposema kama domo unakosea
Afanye kama wengine wanaofanya kazi kama yake na wakafanikiwa.
Hususan akipost vitu vinavohusiana na kazi yake.
Publicity is publicity wether bad or good.Seuze ukifanya good!
Je kwanini hamfollow mtu hata mmoja?
Unadhani inamsaidia??
Yani hizi roho ngumu zetu ni mtaji tosha sana
D ana uwezo mkubwa wa kutumia situation at his advantage.
Kawaacha richgang na offer yao wamepita tu.
Ukiwa mfanyabiashara ya muziki unakupaswa uwe mjanja kama mangi aisee.
Team wema sio watu wa kuwategemea.
Angewatumia kibiashara muda huu kabla hwajamgeuka.
Asifanye kosa la kuwategemea akumbuke mwaka jana na juzi waliku haters wake.
atoto, wakati sahihi ndio huu.
Ungekua sio wakati sahihi basi angeendelea na maisha yake mengine atuwache sisi.
mkuu kwani kiba ana a/c moja insta hilo lakutumfollow hta mtu mmoja cliafiki kabisaaa mtu anaweza kuwa nazo nyingi sana ila ile ndo official # Kebekebe
Very true wakati ni sasa wa kutumia opportunity inayo kuja kwa kuchangamka na kwenda na situations ilivo.
Sijui kwanini aliwapuuzia richgang opportunity ni opportunity angeitumia kujiongeza financially zaidi na sio mengine kabisa.
Ni kweli hizi timu hazitabiriki kabisa afanye kazi kwa bidii zaidi kujiimarisha.
Kweli Kiba hajui maana ya hela.
Kwani hata akifanya kama domo as long as ni kitu kizuri shida iko wapi?? Hakuna ubaya kuiga mambo mazuri maana hata huyo d kaiga kwa mwingine, hii ya kuogopa kuwa ataonekana kaiga nayo ni tatizo, mafanikio mengi duniani watu wanafanya kwa kuiga, hata waanzilishi wa jf hapa tunapopata burudani na elimu waliiga kutoka mahali so sio vibaya.
we abou c nimeeleza udhaifu wake au ndo nikasema tusubirie swaumu ipite tuone c ndo walivyosema watu wake wa karibu tusubirie hayo mambo yatamfanya aimbe taarab kama upande wa pili cc tunataka vitu quality #kebekebe
Very true wakati ni sasa wa kutumia opportunity inayo kuja kwa kuchangamka na kwenda na situations ilivo.
Sijui kwanini aliwapuuzia richgang opportunity ni opportunity angeitumia kujiongeza financially zaidi na sio mengine kabisa.
Ni kweli hizi timu hazitabiriki kabisa afanye kazi kwa bidii zaidi kujiimarisha.
Kweli Kiba hajui maana ya hela.
bas atoe ngoma mpya maana watu tunasubr had kchwa kinauma...ila ndo hvo tushapenda boga..