Abou Saydou
JF-Expert Member
- Dec 1, 2014
- 2,948
- 2,112
Afu kweli mimi sijui ni nini kimempata leo sijui ni team domo anatembelea id yake? Ata sielew
kiba anatuangusha sana. kipindi kile anasema anarudi me nikajua toa kitu weka kitu. tatizo liko wapi?
kiba anatuangusha sana. kipindi kile anasema anarudi me nikajua toa kitu weka kitu. tatizo liko wapi?
Sikiza pwilo nikwambie.
ALI KIBA HATUTENDEI HAKI MASHABIKI WAKE.
Kama huoni hilo basi wewe una mahaba mpaka mahaba yanakuogopa.
dah maskini kinachomuumiza kiba ni mkimya sana anafanya vitu kwa siri sana mashabiki wanataka hata akiumwa na tandu apost instagram kama domo
kwani Ms.Lincoln unajua lolote, nawe atoto vp jamaa bado hajaja pm
Hatusemi hana kipaji, hatusemi ni mbaya.Sijui kati yake na watu anaofanya naye kazi nani anamrudisha nyuma.
Angetumia mtaji huu wa kuwapa fans kitu wanachotegemea hakika angepata faida kubwa sana
Fans are powerful resource. Sisi ndio wateja wake.
Angejiongezea fans na umaarufu.sasa yeye anafanya vitu jama yupo kwenye ulimwengu wake.
Hakuna mashabiki loyal kama sisi.Wengine wanatuita tuna roho ngumu...wapo sahihi.
kwani Ms.Lincoln unajua lolote, nawe atoto vp jamaa bado hajaja pm
kweli ulilosema.. Ila ninapenda upendo wa mashabiki kwake ni vizuri sana.... muda mwingine huwezi jua kinachoendelea nyuma ya pazia patience is all that counts...
Nadhani muda wote huu atakuwa anajifunza kitu, na sidhani kama anaridhika na attention ya watu tu...
Team domo wakiniona wanashut up
Mimi mwenyewe nikiwa na akili zangu timamu naandika haya
Tuacheni kua bendera tumkosoe tu bwana Ali
pwilo Kiba pamoja na ukimya ila ana uzubaifu fulani hiyo ni kweli kabisaa, na ukichangia na hiyo management bubu yake ndio kabisaaaa, hebu basi achangamke sasa, inaelekea upo karibu nae, hebu msimjaze sifa tuuu bila kusahau kumshtua aendane na soko, ila kwa utaratibu ili asiharibudah maskini kinachomuumiza kiba ni mkimya sana anafanya vitu kwa siri sana mashabiki wanataka hata akiumwa na tandu apost instagram kama domo
oya we pwilo hizo collabo we umezijulia wapi na kiba yupo kimya, kuweni wawazi wengine tunamkubali kuliko mnavyofikiria
kiba ana kipaji sana. kwanini hatupi mashabaki wake vitu vizuri. tunavumilia sana ujue. na kweli sisi ni mashabiki loyal tena wenye uvumilivu kwa kiba. toka jana kiba ilibidi awe video hata nne
Tatizo hata kurudi aikua ridhaa yake
Wadada wachache kama wastara walianzisha kampeni instagram " bring back our Kiba" watu wengi wakairepost
After two weeks akamfata didas ambaye alianzisha kampeni ile kua am back for real
Akatoa mwana watu wakaipokea
Maneno mengiiii kama mtu Wa pwani vile
Kweli mkuu hizo collabo nasikia zipo.
Ila mfano iyo yake na fally ipupa toka mwaka jana naisikia tu
si watu wake wakaribu ndo wanavujisha siri hizo za kambini #abuu99kiba #yooooo
Tatizo hata kurudi aikua ridhaa yake
Wadada wachache kama wastara walianzisha kampeni instagram " bring back our Kiba" watu wengi wakairepost
After two weeks akamfata didas ambaye alianzisha kampeni ile kua am back for real
Akatoa mwana watu wakaipokea
Maneno mengiiii kama mtu Wa pwani vile
Na kwenye hii video lazima kuna shida, hii management nayo duuuuh!
mi ni shindwa hata kuwaelewa hawa au wanataka awe kama AY afanye vitu lakini hamna mafanikio cha muhimu kutulia kwanza good things are coming nyie subirini colabo ya wizkidayo chrisbrown na bella wataelewa tu#kebekebe