Ali Kiba Fans' Special Thread...

The pressure is too much, anatakiwa arelax sana afanye vitu na maamuzi ya maana, lasivyo tutaendea kulalamika hivyohivyo. Alafu kutoa ngoma kila siku ndio isue? Angalia kwanza uhai wa nyimbo anazotoa then chilax.

Jamani, soko la muziki la sasa sio la mwaka 2005!
 

"Nimekuja kufuta vumbi kiti changu "
Kumbe alikua na kiti na hakuna aliekalia ila c aliwakuta watu wanaimba ? Mpka hapo alionesha kaja kushindana na co kulala lala kama pono

"Now ckai kimya ni bampa to bampa "
Tangu aongee iyo kauli katoa ngoma ngapi na video ngapi ?

Au bampa to bampa maana yake ni pole pole mpaka yethu arudi ?

Inshort music ni ushindani bila ushindani tutaendelea kuwaimbia kina Kidoti doti vyumbni
Hatutoki ng'ooo
 

relax wait good thing from king #kebekebe
 

relax wait good thing from king #kebekebe
 
mkuu mi nakushauri usimshindanishe kiba na domo kisa domo kasema kashamaliza kushot video na
kiba nae atoe ni hivi mkiacha kumshindanisha na domo hayatatokea hayoo unayoyafikiria/kuwaza they are different #King kiba

Hivi unakijua kilichotokea kwenye video ya chekecha ?
Kiba anaringia kipaji sawa ila kinapita kile
 
sawa na nigeria ndo nje mana ndo wanapokimbilia #kebekebe

Nigeria ndio ipo vizuri ki Music katika bara letu ukitaka chukua hutaki ckulazimishi

Jana niliona wanaija wamekomenti kwenye ile post ya davido kua wanamjua alikiba ila mmoja akasema kwanini tangu aimbe na Rkelly ajaimba tena

Kuna umuhimu Wa collabo !! Lakini Kiba atakuletea collabo na Christ Bella
 

ile ilikuwa chance ya kingkiba kutoka kimataifa. naomba aongeze juhudi me naamini anaweza.
 
ile ilikuwa chance ya kingkiba kutoka kimataifa. naomba aongeze juhudi me naamini anaweza.

Sasa kwanini sehemu ya kwenda dakika kumi anatumia miaka 10 kufika ?

Yaani watu wanajua kua kaacha music
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…