Ave Ave Maria
JF-Expert Member
- Apr 22, 2011
- 10,707
- 5,682
tunusuru nchi yetu taifa stars huko ishapigwa tatu sifuri na unganda,,,, mnaonaje tukilipiza kisasi kwa kupiga 3 za diamond platnumz afu 1 kwa vee mtonyo pale ndichi au sio...
Tupo pamoja wadau me ninachowakubali mnajielewa, tunathamini mapenzi yenu kwa chibu dangote nasi yunamkubali ali k for real pamojaaaaaaaaa
asante sana. tuliendeleze gurudu cute b
Mwanangu nasikia dude la mwana linagongwa kitaa sijui nilifuatilie..maana sio kwa utamu ule ati!!!
Dah hili dude nomaa aseee linapoteza hadi nyimbo zote mpya!!!
Jamani msimsahau wifi yake Ms.Lincoln
Vote for vannesa mdee.
Du! Nashukuru sanaa
Afu team b sijui kwanini hawaoni kuwa ni kukosa uzalendo kutompa promo Vee Money!?
Jamani she must come home with this award! She is good!
Shwari kabisa....mzima wewe?
Mi nipo tu sema mara nyingi twapishana muda wa kuingia.
Mwanangu nasikia dude la mwana linagongwa kitaa sijui nilifuatilie..maana sio kwa utamu ule ati!!!
Dah hili dude nomaa aseee linapoteza hadi nyimbo zote mpya!!!
Najiuliza Kwanini Ali kiba kwny account zake hampigii promo Diamond na Vanessa kupigiwa kura kwny tuzo za M.A.M.A kama wasanii wenzie wanavyofanya? [URL=https://www.jamiiforums.com/usertag.php?do=list&action=hash&hash=mtazamo]#mtazamo [/URL] tu#
Lol ulimchamba shoga ako utazani hamjuani
Kiba alivyoenda marekari aliwaambia ""i am from diamondplatnumz country"" si unajuwa ndio icon wetu, ndio maana ameamua kumpigia kura mtv kaangalie twitter
Najiuliza Kwanini Ali kiba kwny account zake hampigii promo Diamond na Vanessa kupigiwa kura kwny tuzo za M.A.M.A kama wasanii wenzie wanavyofanya? #mtazamo tu#