Kijana mdogo tajiri. Hataki shobo
msanii ambaye anategemea mziki ni domo peke yake ila wenzake kina davido ni kipaji watu wana degree lakn wameamua kufanya mziki kiba(footballer) hebu taja kipaji kingne cha diomond ukiacha mziki #Rockstar 4000 presents
I don't need your votes😀
@ms Lincoln hii hapa
Nikitu kimoja tu. Kutofollow msanii mwenzake hata mmoja ndio kunasababisha watu kuto mpost yan very bad idea nani sijui alimshauri. Kwa sababu umpost Kiba wanini wakat hajakufollow it means hataona hata picha yko wala uliyompost. Ndio mana ilibidi amuombe Wema ampost lkn Wema kwa hiari yke walaaa asingejisumbua kumpost Kiba cz haina maana. Yan artist wana muignore kwenye social media kama haexist vile
wamesema atapostiwa na tanapa hhhhhaaaaaa
Hahahaha atapiga collabo na tembo mwaka huu
But we dey vote now.....man no go vex right??!
Teh! Teh!
Najua Nilianza kumckia davido n kumkubali kabla ww mda sn kipindi npo chuo mwaka 2011 n wimbo wke dami duro akaja ekuro n oversees ila washikaji wng wengi walikuwa hawamjui hata watz wengi najua mlikuwa hamjui okey sikatai diamond kambeba davido west ila pia diamond ndo kafanya davido ajulikane east Africa n vilaza km ww usiojua mziki n wenzako halafu pia ile collabo diamond alimlipa ela haikuwa bure
yani huoni aibu kudanganya watz wewe,davido kajulikana sana hapa tz na ile ngoma yake ya SKELEWU kabla ya kufanya remix ya platnmz.
Na Nini na nini
Anafatilia uzazi wa mpango" sio kuzaa ovyo ovyo kama jamaa flani. ila soon anapata a daughter atakua mtt wa taifa yani huyo ata uwe shimoni utaskia kua mtt wa mondi kazaliwa kwaio uspate shida"
Skelewu c ilianza kupigwa sn n clouds wakati davido alivyo kuja fiesta bila ivyo mshamba km we ungemjuaje