ukitaka kufaidi utamu wa nyimbo mpya ujao wa alikiba nenda insta account ya jamaa anaitwa jr.armylee....pale kuna kapande karefu kidoogo...post ya kwanza tu klick....chakula kitamu hunukia tokea mbalii
Point zao ni wanaonewa wivu. Watanzania wana chuki na mafanikio yake wanataka kumshusha kinguvu.
Hivi ka ni wivu na chuki si watu wangemuonea Bakharesa sana.
Hoja zao mfu.