Dr Matola PhD
Platinum Member
- Oct 18, 2010
- 61,430
- 108,589
- Thread starter
-
- #11,281
Vote! vote! vote!
Vote for Africa...vote for wizkidayo, vote for Davido
Lazima tuutukuze Uafrica wetu, Africa is one, Domo ukimchunguza asili yake utakuta ni Mrundi kwahiyo swala la Utanzania halipo hapa tunaangalia Uafrica, mbona vitenge vya Ghana wanavishabikia?
Na kwa takwimu nilizonazo Super Eagles timu ya mpira wa miguu ya Nigeria ndio inaongoza kwa kupendwa na kushangiliwa na Watanzania why kumpenda Davido iwe nongwa? Ni sheeeeeedah!
Karibu sana mpenzi kwenye ulimwengu wa local,wizi,umasikini na uchawi na mabingwa wa outlook mbovu, uwiiii hebu niende tena kwenye kioo labda nitakuwa nimerekebishika kidogo now.
Hili balaa lote analieta Kiba!!! Aaggggrrrrrr Handsome mkubwa yule, ndio maana ana dimpoz, muone lilivyo kazi kutunga nyimbo kali tu!!
Diamond akikosa au kupata tuzo, inqkusqidia nin katika maisha yako!
...some poor tanzanians, for this intelligent, then we should forget about development!
DOWNLOAD:Kcee - Love Boat ft. Diamond Platnumz notjustOk - I am browsing [DOWNLOAD:Kcee - Love Boat ft. Diamond Platnumz notjustOk]. Have a look at it! http://notjustok.com/2015/06/16/kcee-love-boat-ft-diamond-platnumz/
Aliyekwambia sisi tunataka maendeleo ni nani? Watu wengine hovyoo kweli hata kuandika tu hujui ndio unaongelea maendeleo?
Hivi ni tanzanians au Tanzanians? Jinga kabisa.
Akili yako ndo ilipoishia, si ndio!!!
Mkuu una akili ndogo sana hata mdgo wang wa daras la sita kakuacha mbali sana!
Anyway, thanks for your responses......unanifanya niendelee ku'validate na ku'confirm nnachokifikiri.
naipenda sauti yake hasa ile nyimbo ya kiboko yao dah
Aliyekwambia sisi tunataka maendeleo ni nani? Watu wengine hovyoo kweli hata kuandika tu hujui ndio unaongelea maendeleo?
Hivi ni tanzanians au Tanzanians? Jinga kabisa.
Wewe pimbi acha mbwembwe, ni tanzanians au Tanzanians? Jibu swali acha kurukaruka kama bata bukini.
Umasikini wetu unamuhusu nini kwa mfano kuna anayekunya kwenye choo chake hapa!!! Akipata au asipopata haitusaidii chochote thats why we are voting kwa yule tunayejisikia, sasa if thats the case kwanini waumie!!!
kati ya wanamedia mnaopigia promo bongo fleva hii inahusu kwetu ni moja ya kupushhhhhhh artistyyyyyyyyy...... ..
Sifa za msanii Ali kiba
Ana uwezo kutunga mashairi
Uwezo mkubwa wa kuelimisha jamii
Uwezo wa kujitegemea kuimba
Hapendi sifa
Nyimbo zake watu wa aina zote wanaweza kuupokea
Uburudishaj wake wa hadhira
Kujitegemea hashirikish mara nying
Sio mtu wa papara
Yupo makin
Uwezo wa kupokelewa unahitaj umakin
Sifa za Diamond
Ana uwezo wa kuimba
Mashair yake yanajirudia
Anapenda kusifiwa
Kushirikisha watu kukoraborat nyimbo
Nyimbo zake za watu wa umri fulani kat ya - up to -
Mahadh ya nyimbo ni kurudiwa rudiwa
Upungufu wa umakin kila siku