Ali Kiba Fans' Special Thread...

sr bachelor mbona picha zako sijui nini hazifunguki? Nimejaribu mara tatu yaleyale!
Nimeshidwa kuupload sijui kwa nini..nina some short video na pics nashidwa kuziupload..unaweza fanya hiyo kazi nkutumie..I feel like supporting and promoting our musicians..hata Ali hapa hapakiwepo na promo ya nguvu mm nlisokia ju kwa ju tu inasikitisha maana wanajituma sana
 
Huwa ni muelewa mnaweza hata kuelewa kihoja tofauti na wengine mweeeh. Yani wengine hadi roho zinataka kuwachomoka mweeeeh.

Hahahahaa, halafu yeye walaaa akaongea yake ya rohoni.
Nimemkubali jamaa.
Shoga twende tukamuangalie Membe bwana, tuone sera zake.
 
Icon wa Tanzania Diamond Platinumz kachaguliwa n wasomi sasa nyie mlioishia O level n darasa LA 7 endeleni kubisha kuwa Diamond sio icon n number one artist wa Tanzania
 
Ni kweli hata ligi ya La Liga ni bora kuliko Epl. Lakini ushajiuliza kwanini Epl inaingiza pesa nyingi na ni maarufu kuliko La liga? Ndio kinachotokea kwa hawa jamaa wawili.
 
acha kudanganya umma,kiba yupo south kaenda kushoot "chekecha".hiyo ya US ni yako,au unataka kudrive attention ili kumpaisha mpiga shoo za wilayan kaenda US.punguza viroba
 
acha kudanganya umma,kiba yupo south kaenda kushoot "chekecha".hiyo ya US ni yako,au unataka kudrive attention ili kumpaisha mpiga shoo za wilayan kaenda US.punguza viroba

Hahahaaaa wew utakuw umetoka kijijini jana.
 
acha kudanganya umma,kiba yupo south kaenda kushoot "chekecha".hiyo ya US ni yako,au unataka kudrive attention ili kumpaisha mpiga shoo za wilayan kaenda US.punguza viroba

Hafu unajiita eti chagga land mhhhh😱🙄🙄:what:
 
Last edited by a moderator:
acha kudanganya umma,kiba yupo south kaenda kushoot "chekecha".hiyo ya US ni yako,au unataka kudrive attention ili kumpaisha mpiga shoo za wilayan kaenda US.punguza viroba

Soma caption usije ukawa we ndio umekunyw a viroba lol
 
Attachments

  • 1433668714525.jpg
    51.7 KB · Views: 224

Tupe full address.....
 
Hizo ni kelele za chura tu, yaani kiba hawakauki midomoni as if ndiye mwanamuziki pekee tz, alafu wamekazanaaa eti local, sasa km washajua ni local why the energy??? Waimbe na wao basi wawe intaneshino, nyambaaaaafu!!
 
acha kudanganya umma,kiba yupo south kaenda kushoot "chekecha".hiyo ya US ni yako,au unataka kudrive attention ili kumpaisha mpiga shoo za wilayan kaenda US.punguza viroba

We mchaga wa wapi ww? kishumundu nini?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…