Alikiba ni msanii mkali sana Africa, pale dai lazima jasho limtoke hadi kumfikia King, unajua bila fitina za dai basi Leo hii tungekuwa tunaongea mengine kabisa
mmnh,ya ukweli haya?dai alimfanyia fitina kingkiba?
mi naomba unitumie picha za show ikifanyika kakaangu.
aisee kuna hizi namba Nifa , Diva Beyonce Ms.Lincoln geniveros lukelo sakafu Shardcole, Avemaria, nyie ni kweli die hard fans wa kiba,i salute you people keep it up atoto kidogo siku hizi ana kua adimu.
Kiba ndo nn ktk hii nchi kunamtu anaitwa kiba??? Namhua Dangote tuuuuu
Which question did you answer beach girl?Maneno ya mkosaji kwahyo asifanye yake kisa domo. Kwani wasanii wengine wanafanya nini.
Nonsense and bull.st.
mmnh,ya ukweli haya?dai alimfanyia fitina kingkiba?
mi naomba unitumie picha za show ikifanyika kakaangu.
You got to be kidding kidders..Alikiba ni msanii mkali sana Africa, pale dai lazima jasho limtoke hadi kumfikia King, unajua bila fitina za dai basi Leo hii tungekuwa tunaongea mengine kabisa
Tuache ushabiki Kiba ana sauti ambayo sio ya kuedit. Sikiliza cheketua vizuri kisha rudi nyuma sikiliza sinderela. Kiba mkali sana bali alikosa wasimamizi wazuri ila kwa sasa tunaamini atakata kiu zetu. Kila la heri kiba.
All the best Kiba peperusha bendera huko.
Thanx so much nna video nyingine na picha ..ila nashidwa kuziupload can u help meKing anatikisaaaaaaa.
Nimekupenda bure, watu kama wewe ndio wanaoweza kubadili huu ujinga uliopo kwa sasa.
Kwahili nimekuheshimu, uko tofauti na malimbukeni wengine.