Mchiwa Ng'ambaku
JF-Expert Member
- Jan 24, 2015
- 959
- 803
+Honera Kiba kwani kwa ile wiki ya kwanza kutoka ilichezwa chezwa kwenye baadhi ya channel za kimataifa hongera kwa hilo
👏👏👏👏👏👏
+halafu nyie team Kei mnaonekana hamfuatilii habari mlikuaga wapi kusherehekea hii habari ya February 3 mnasherehekea leo.
+ ha haa haaa 😁😁😁😁😀
Msijipe moyo video ya mwana kwa sasa haipigwi kituo chochote cha kimataifa, TBC kwenyewe hawapigi washaitia kapuni, sasa hivi habari ya maMTV huko ni Nana tu!
Hebu tutokee hapa na wewe.Hata kama ikiwa ya mwaka 47 inakuhusu nini?
Sisi tunafuraha tu as long as ni habari za King.
Nimeingia humu naona maluweluwe tu!! Ni thread imeunganishwa ama?
Hebu tutokee hapa na wewe.Hata kama ikiwa ya mwaka 47 inakuhusu nini?
Sisi tunafuraha tu as long as ni habari za King.
+😁😁😁😂😂😂😂
Umepaniki Nifah kwani nimewakataza kufurahi, me mwenyewe nilifurahigi mwezi ule wa pili nilivyoionaga hii habari.
+halafu nyie mlishaanza kujifariji kwamba inapigwa sasa hivi noooo, sasa hivi ni Nana tuu #kama_Ronaldo
Hebu tutokee hapa na wewe.Hata kama ikiwa ya mwaka 47 inakuhusu nini?
Sisi tunafuraha tu as long as ni habari za King.
He heee mmeona mwezii....
Sisi tumeshazoeaaa...
Yan kuonyeshwa kwenye vichanel viwil tu mnaanza fujo
Hivi kwanini team kiba wengi wao,wanakuwaga na hasira na matusi sana kama mashabiki wa simba na manchester united?
hahahahahaaa wananikumbusha enzi za utoto siku tukipika ubwabwa, majirani hawanywagi maji.
Where was he?
who made him back???
Wasn't he there?
Yeah, ndio maana unaona mamluki hata hivyo ni kawaida tu.
Oyoooooo! Hizi ni salamu kwa mtaa wa pili, jipangeni kwa dhoruba kali mwaka huu..
NDIO TUNAKUJA HIVYOOO!!!
Yakwenu ipi
+Honera Kiba kwani kwa ile wiki ya kwanza kutoka ilichezwa chezwa kwenye baadhi ya channel za kimataifa hongera kwa hilo
👏👏👏👏👏👏
+halafu nyie team Kei mnaonekana hamfuatilii habari mlikuaga wapi kusherehekea hii habari ya February 3 mnasherehekea leo.
+ ha haa haaa 😁😁😁😁😀
Msijipe moyo video ya mwana kwa sasa haipigwi kituo chochote cha kimataifa, TBC kwenyewe hawapigi washaitia kapuni, sasa hivi habari ya maMTV huko ni Nana tu!
Nipanic kwa kitu gani? Unachekesha wewe.
Tutokee hapa bwana hatujakuomba hizo taarifa zako ungebaki nazo tu.
Kiba, Ali was some years back. He is using a lot of energy to get audience attention.
I bet, the higher he tries, the more he falls.
Hahahahahaaaa! Halafu nimekumbuka ngoja nikakutumie invitation kwenye group la wambea.