AdvocateFi
JF-Expert Member
- Jan 15, 2012
- 11,492
- 5,049
Naomba tuheshimiane tena usi ni quot kama hauna point ya kuniambia.
Mimi sio demu wako wala ndugu yako so pita ivi utokee kule
😀😀😀😀 inyanya ft diamond nakupenda elewa somo weka soundcity now channel 327
Tetetetete video imekufa kifo cha mende siku hiyo hiyo ilipotoka
Cheza sankoro sankro kama ronaldoooo sankoro sankoro
wacha kabisa cute b!!siamini yaani mpaka sasa!!looh ban mbaya!!
Tetetetete video imekufa kifo cha mende siku hiyo hiyo ilipotoka
Acha tuu.. tunyamaze usikute system zimekoseaaaa mamy
We unadhan mpaka diamond kushukuru Tbc kwa kuipiga hiyo video yake ni jambo la kitoto, ujue kashikiwa pabaya safari hii kwani hivi sasa media za tz zinampotezea balaa wameshaona huyu kijana sio riziki
Sanx afro popNilikuwa nawaza video itoke inikute nje ya nchi itakuwaje...
Au tuzo zitoke zinikute nipo nje ya nchi ingekuwaje...daah niliwaza sana.
Mtafika lini hata video yenu ionekane sound city team kiba au ndo coming soon okey yamoto band hao hapo coming soon tunawangojeeea hata sound city kavideo chenu kaonekana cwezi jua may coming soon 😀
We jamaa kichwa chako kina usaha
Kumbe ulipigwa ban ma dia nilikua sikuoni mweeeh pole sana bora umerudi tena.
Mtafika lini hata video yenu ionekane sound city team kiba au ndo coming soon okey yamoto band hao hapo coming soon tunawangojeeea hata sound city kavideo chenu kaonekana cwezi jua may coming soon 😀
Mwana inachezwa Africa na nje ya Africa , umenielewa ?
Alafu uache kupiga vijiscreen shot kutoka kwenye page za akina tale na fella
Piga picha kutoka kwenye Tv yako !!
Alafu apo sound city zinachezwa mpka ngoma za baba levo