Ushamba mzigoo wa miiba, wanajulia wapi? Washazoea kuona watu wanafuatana na kukimbizana barabarani basi kwao huo ndio ubunifu na ndio video bora, hata aina za video hawazijui kazi kubwabwaja tuuuu!! Sikio la kufa hawa!
Mwana dar ina nini ? Cku zote wachambuzi hawakosekani na kila mtu atatoa pendekezo lake ,pale ingekua hivi ,mule angecheza singeli n.k
Kiba Anakuja na ww waambie wajiandae kuandika script za kukosolea video ya kiba ijayo
Hawakosi la kusema hawana jema.
Hahahahaaa kweli nimechekaje hapo kwenye red?
Halafu kuna watu hilo hawalioni wanawaza kumpondea King tu.
tatizo hawajui aina za video. king kiba anajua ngoja tuwaoneshe
Watajulia wapiii washazoea bongo movie saa nzima mtu yupo barabarani anafukuzana na binti movie imeisha, sasa wanajua kila video ni bongo movie, haya king kawasikia atawafanyia bongo movie eeeeh watoto wazuriiii!

Teh Teh
Mtani me nimepita kukusalimu...!
Watajulia wapiii washazoea bongo movie saa nzima mtu yupo barabarani anafukuzana na binti movie imeisha, sasa wanajua kila video ni bongo movie, haya king kawasikia atawafanyia bongo movie eeeeh watoto wazuriiii!
Hahahaha nimecheka balaaaaa,
Hahaaa walikua wanadai hana hela ya ku shoot video. Sasa ku release mbili hakujazipa video kupata airtime na watu wamezizoea.
Kiba wako kazini
Walah sipati picha,
oyoooooooo
Hahahaha wasubiri sasa Cheketua ndiyo wataelewa