Diva Beyonce
JF-Expert Member
- Mar 6, 2014
- 12,913
- 11,295
Watu washanza kuomba remix from s.a we endelea kuponda wimbo
Muuza njiwa una matatizo ya kisaikolojia. Hamna jipya hapo zaidi ya kupoteza mda wako tu. Mi ni die hard fan aisee yani unajisumbua tu tena hata akifanya colabo na Beyonce kwangu mimi naona atakua hana jipya.
Sema ivyo kumbe nilikuwa nampigia gitaa mbuzi
Watu washanza kuomba remix from s.a we endelea kuponda wimbo
Kaongea kweli aisee to me nothing new kwenye huo wimbo. Style za kucheza ni zile zile za video nyingine. Inakua inachosha abuni uchezaji mpya hata location haina tofauti na moyo wangu hadi yale nagari. Ila pia kadesa idea ya Wanjera yule mdada kuanza kufatana ka wanabishana.
Hafu nguo alizovaa domo bana haziko vizuri za kihuni huni flani kuchana majeans.Atafte nguo za kiheshima au ana target group flani kwenye video.
Aongeze na ubunifu wa nyimbo sio kila siku yale Yale. Na uchezaji pia.
Mkuu, hakuna wimbo uliotoka vizuri kabisa halafu ukaombwa ukafanyie remix kesho yake tu baada ya kuachiwa. DJ Maphorisa anataka akarekebishe audio kwa sababu mixing imefanywa vibaya, sauti ya Nassib haisikiki vizuri kama ilivyo sauti ya Flavour.
Sio kila kitu kiwe kwa ajili ya kufanyia ubishi, sio kila maoni yanayotolewa kwake huwa yenye lengo baya. Mikasi ya kwanza ya Ngwair (RIP) ilifanywa mixing vibaya la Ludigo, kisha Majani akairudia kesho yake na kuitoa Mikasi Remix ambayo ikabamba.
Kasikilize sauti ya Nassib kwenye Number One, kisha kasikilize kwenye Nana, Bum Bum na ule wimbo alioimba na Waje ndio utaelewa vizuri ninachojaribu kueleza hapa.
Tatizo wengi wanaamini kukosoa ni chuki dhidi ya anayekosolewa, huku ni kumjenga jamani, ndio kama tunavyomwambia akamuuguze baba yake.
Kwa sababu sitaki kurudia rudia jambo moja, naomba ukanisome vizuri kwenye uzi unaozungumzia hili suala la kuombwa kufanyia remix huo wimbo uliotoka jana tu.
Ova
hahahhahahha....bado tu mjinyonge...manake ndimu mmemaliza zote
Mdakuzi bora umewaelewesha aisee maana wao kila kitu ni ushabiki. Kiukweli diamond hakusikika vizuri kama Mr Flavour bora aufanyie remix. Sema wakiambiwa ukweli lazima uitwe haters.
Kwaiyo we remix unaona inatumika kwaajili ya kufanya marekebisho 😀😀😀 baki ivyo ivyo mchambuzi wa kiba
Sijui kuimba,sijui muziki mnanidhidi kila kitu sawa basi mniache-DPlatnumzWengine wameanza kufuatilia muziki baada ya Nassib kuanza kuimba, kwa hiyo wanamuona kama Jay Z. Wote hawa ni wasanii wetu, ndio maana naupenda huu uzi kwa sababu jana tu nilisoma humu fans wa King Kiba wakiisifu video yake Nassib, sasa ingekuwa chuki wangeisifu?
Ova
Umeshindwa kujinyonga wewe ije kua mimi. Kumbe una take serious mambo ya music eeh. Kwangu ni minor case sana. Hajazaliwa wakunilambisha ndimu aisee labda my bebeee.
Mdakuzi bora umewaelewesha aisee maana wao kila kitu ni ushabiki. Kiukweli diamond hakusikika vizuri kama Mr Flavour bora aufanyie remix. Sema wakiambiwa ukweli lazima uitwe haters.
Na we huoni aibu kukosoa nyimbo ya diamond wakati msanii wko kiba hajawahi kufanya video km iyo km unajua Ku shauri mshauri Ali kiba afanye video nzuri pyeee
Ingekuwa vema ungeachana nae maana hataki kuelewa... Japokuwa anajua
ONYO.
nyie mnaojiita tim domo ushabiki wenu na magazeti yenu huko huko kwenu.
Mnajipendekeza huku kutafuta Papuchi hamna lolote nyie zaidi ya bla bla bla.
Kwani ni lazma tumkubali huyo domo?.
Mbona kama mnatulazimisha? Mmetumwa au? SISI TEAM KIBA KWA TAARIFA YENU KWA KIBA HATUSIKII WALA HATUONI NA KUTUBADILISHA SISI NI SAWA NA KUAMINI SHETANI SIKU MOJA ATAKUWA MALAIKA...
ivyo basi msijisumbue kutafuta umaalufu humu sisi hatuna tym na hatuelewi..
Sasa nyie vimbele mbele kama mbuzi wa mashine mnaokuja kutafuta kiki humu mkome Huku hamna papuchi za bure maana mnaokuja ni me tuu.
Uchokoz mnaanza nyie mkilabuliwa maneno mnaenda kuanzisha sred.
FANYENI YANAOWAHUSU.