Ali Kiba Fans' Special Thread...

una uwezo mdogo sana wa kuwaza na zile hadithi zako za ukimuangalia sana simba usoni anaona aibu!

Mkuu umenikumbusha hadithi yake ya simba Teh Teh huyu jamaa ni zaidi ya futuhi
 
ni ukweli usiopingika kuwa kiba yupo juu na ataendelea kuwa juu daima kwa kuwa ana vigezo vyote vinavyomtaka msanii hawe juu navyo ni hivi,ANAJITUMA SANA ,ANA NYIMBO KALI SANA
Hizo sababu mbili hapo juu hana hata moja, Video ya CHEKECHA mpaka leo hii ni mienzi 3 hajatoa anawazungusha mashabiki wake. ALIKIBA haangalii soko la music linataka nini yeye bado yupo ki-local sana wakati wadogo zake akina SHETTA, VanessaMdee, Dimond, Johmakini wana-make HEADLINES kwenye vituo vikubwa vya Music Africa. Na kuhusu uandishi wa nyimbo nzuri bado sana kumfikia Dimond ila labda useme anajua kuimba(tune).
b
 
Jamani Kiba anajua. Hajawahi toa wimbo mbaya tangu sinderela hadi cheketua ni utamu tu.
 
Jamani Kiba anajua. Hajawahi toa wimbo mbaya tangu sinderela hadi cheketua ni utamu tu.

Sana tu, kua shabiki wa Kiba raha sana maana hakuangushi ni mwendo wa raha utamu.
 

mkuu umetumwa au?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…