kedrick
hahahaaaaa kumbe mwoga eee. Unazani wazee wa kubet ni wase.nge kama wew? Ungeenda ujibu pumba zako uone jinsi ungetahiriwa govi wew
Acha kulazimisha uhasim
Team jojo na Kiba wala havikua na muda na hayo malonya lonya.
Pyeee
Umetukanwa tusi gani kwa mfano?
Wewe umetoa hoja gani ya maana ipaswayo kujibiwa!
Punguzeni kulalamika! Pigeni kura
Pyee yao.
Kwenye wimbo wa coco baby alikua anapumua pumua tu na kusema chaaa! Chaa!
Waliokuwepo insta n comment zao zipo
Ule wimbo ni mzuri, ila penye ukweli lazima tuseme mle ndani ndomo alipotea sn,
Hivi kumbe kutoboa intaneshino haiwezekani kabisaaa bila colabo?? Kwani wenzetu wamefanya colabo na nani wakatoboa kwetu, ifikie wakati tuthamini vya kwetu, na kama hatuwezi kutoboa bila colabo basi tukiipata tuitendee haki sio tunakurupuka tu mwisho wa siku tunaanza kumsaka mchawi kumbeeeee, jamani eeeeh kiba hajawazibia chochote nyie fanyeni yenu na mumuache kiba afanye yake, mkiona anawauma sn nunueni vitochi,uzeni tv na redio zenu, alafu masikio na macho mzibe ili msimsikie wala kumuona tena!
Unajuaje kuwa ni team Kiba?
Ivi kwanini hupendi Ali kiba afanikiwe?
Shangaa wewe!
Why Kiba?
Jamani, hatuwezi kufanana.
WAACHE WIVU NA ROHO MBAYA.MAFANIKIO HAYAKUUMBWA KWA MTU MMOJA PEKEE.
Gudmorning #TeamMuzikiMzuri #Teamkiba haya sasa @officialalikiba ameingia kwenye tuzo za Archivers awards zinazotolewa na chuo kikuu cha Dar es salaam kama most inspiration music icon.(msanii aliewashawishi watu wengi kupitia muziki wake, maisha yake na heshima yake kwa jamii inayomzunguka.) Nadhani wote tunajua #KingKiba
alivyo wa inspire vijana wengi kupenda kuimba, jinsi anavyoheshimika kwa mchango wake kwenye jamii na pia kama msanii asie na skendo za ajabu na anajichangaya na kila mtu kwenye jamii awe wa hali ya chini au ya juuu.
Basi twendeni tukampigie kura
BADO SIKU 2 TU.. baada ya hapo tunaendelea na #kilimusicawards nifah, atoto, Ms.Lincoln, Avemaria, Diva Beyonce, unanitaka, Matola na fans wote wa kiba

Hata mie japo npo kwa diamond kani inspire kutia mimba mademu n kukacha 😀😀 safi sn no scandal n mfano bora kwa jamii n mwendo wa kutia mimba tu
Vipi kwani wakati anakutia mimba ulikuwa umelewa viroba??? Au unataka akutie nyingine tena?? Sema tu mama kama wataka chata la le king tena! Si unaona mwenyewe watoto walivyo wazuri, makubaliano yenu ndio yaliyowafikisha huko, so walaaa usiumie sn.
Sasa umemaindi nn kwan mie nimekutukana maumivu yakizidi kamuone daktari 😀 me nawapa changamoto tu au nime Ku cyber bull
Hata mie japo npo kwa diamond kani inspire kutia mimba mademu n kukacha 😀😀 safi sn no scandal n mfano bora kwa jamii n mwendo wa kutia mimba tu
Post count: 7
Other: junior member
Ivi nyie team nyoko mna matatizo ya mapu.mbu eeee? Izo korodani zenu zinafanya kazi vizuri??
Mtafungua new id mpaka miku.ndu ijae povu nyoooo sisi ni mbele kwa mbele na hamtuwezi? Hii inaitwa jeshi la watu wachache wenye mbinu zaidi ya watu million moja ndo team kiba upoooooo?