Ali Kiba Fans' Special Thread...

Ndie huyohuyo shoga! Hatariiii japo bado mambo hayathibitika...
Naona domo kachoka wasichana kahamia kwa wamama maana nasikia huyu nae ana watoto watatu!
Angekua Kiba mbona tungekoma?

Ingekua Kiba wangesha mtukana Mpaka basi. Ila mtu wao loh hawaoni.
 

garbage
 
Nasubiri collabo ya p square n diamond aiseee noma sn diamond anavaa kiatu cha yeezy ambacho kwa Ali kiba n bajeti ya mwezi kulisha familia yke n chenchi ina baki
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…