cute b umetisha sana.Hakika ni yeye 100% maana nimefanya na 'karesearch' kidogo kwenye arguments zake ndio hivihivi kama anavyo argue hapa.Ngojeni niwatumieni pm id yake nyingine...
Sijapata Pm yako mama...
Mh ivi unalalaga ww
Hahahahahaa umekumbuka tulivyowashtukia wale wanaokuja na ID mpya huku? Kaaazi kwelikweli yaani nimecheka balaa.
Umeona eeeh!!!
Moja kati ya waganga njaa wanaoviziaga "Hi" za wasanii pale maisha club akijua atapata hata ya tusker hahahaaa kubwa jinga huyo!
Wakuu nahitaj kuelekezwa jinsi ya kupiga vote whatsApp kwa King of Kings Tanzania, msaada wakuu nianze kuchekecha
Hahahaaaaaa.....heheheiyaaaaaaa wapi mtaalamu wa new ID?? Huhuhuuhuuh....
Namkubali Ali kiba ni shujaa na ni mwanamuziki hodari namba mbili nchini. Hongera Kiba.
Hahahahaa huyo jamaa kwa kujigamba hodari sana.Mara ooh Kiba alimuhonga bia akamzomee domo kwenye ile fiesta na blah blah kibao!
Upo mkuu?
Namkubali Ali kiba ni shujaa na ni mwanamuziki hodari namba mbili nchini. Hongera Kiba.