Ali Kiba Fans' Special Thread...


unaongea kwa facts mpaka unaboa
ujue hawa viwavi jeshi wanasumbua
 

Jibu swali ww mwenye phd basi kiba ana tuzo ngapi za international
 

Ivi nifah huyu mshamba ni me au ke?
 
Last edited by a moderator:

Masikini akipata makalio hulia mbwata!!! Yaani huyu boya sijui kala maharage ya wapi?
 
Wew una shida gani na humu ndani? Unatafuta wanaume au?

Muhurumieni tu huyu, walaa hajui alitendalo, ndio kwanzaaa kavunja ungo, chezea bleed ya kwanza wewe!!! Hebu huo upuuzi wake aupeleke kwa viazi wenzie hukoooo!
 
Muhurumieni tu huyu, walaa hajui alitendalo, ndio kwanzaaa kavunja ungo, chezea bleed ya kwanza wewe!!! Hebu huo upuuzi wake aupeleke kwa viazi wenzie hukoooo!

Kumbe ndo blid ya kwanza awe makini asije akabeba mimba maana inaonekana anawashwa sana na kisi.mi
 
Kwa kuwasaidia hana tuzo yoyote ya njee maanan mnaona aibu kujibu pyeeeeeeeeeee
 
Maumivu yakizidi kamuone daktari hapo Chanel o yeye n Casper nyovest toka south Africa waliogoza kwa tuzo tuzo 3 3 walichukua wote
 

Attachments

  • 1431531246215.jpg
    27.7 KB · Views: 79

Heheeee hawa madogo inabidi watulie.
Wao wataendelea kupewa lift tu ila honi hawapigi ng'ooo!!! Hiyo ni ya driver cum the owner himself!
 

Asante mdogo wangu.

Watu wanashabikia muziki kwa style ya bendera fuata upepo utakapoelekea na wao wanafuata.
No wonder sasa hivi wanashabikia tuzo!!!
Nikiwa kama mdau wa muziki the only thing chenye naweza fanya ni kumpongeza Mondi kwa kupata tu ule ujiko lakini kusema kwamba eti ni mwanamuziki mzuri zaidi ya Kiba.....hapana aiseee kwa King atasubiri sana!
 
Last edited by a moderator:

kiba miaka dollariiii $
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…