Hivi kiba kafanya nn kutangaza mziki wetu international level look at diamond doing collabo with big Africa artists davido, bracket, tiwa savage, inyanya, p square, waje, a.k.a, mafikizolo yemi alade n many more are still asking for collabo you should feel proud for diamond he his representing Tanzania
kafanya project ya one eight au ulikuwa ujaanza kufatilia mziki ata rais wetu kuna studio aliitembea marekani inaitwa universal rec alikuta pcha ya kiba so mond akaitangaze wap tanzania zaidi ya marekani mana nigeria njaa njaa kama bongo

Na inamaana ushasahau Mara hii moja ya big awards in America n bet awards n diamond ndo msanii wa kwanza wa Tanzania kupata nomination n party before awards alikuwepo n Ali hojiwa n karruche alikuwa mpnz wa Chris brown ivi unajua n nchi ngapi duniani zilikuwa zinaangalia zile awards kiba wakati wake ushapita golden chance never came twice c alikuwa anaona raha kutumia ustaa wke kuwapa ovyo wanawake mimba basi muambie it's too late anakumbuka shuka uku kukiwa kusha kucha

nashukuru kwa kuwa na kumbukumbu nzur bro ayo mengne unaongeza mada tu kwa kuwa ushakumbuka poa karbu break fast
Sijui kwann wanatumia nguvu nyingi kumdiss kiba wetu, utadhani kuna mlango kawafungia, si wafanye yao!!!
Yeye km nani aseme muda wa kiba umeisha?? Na umeishaje kwa mfano?? Na km umepita how daz it bouther her?? Sasa mtu ambae kaishiwa anakusumbua nini?? Si ndio ilitakiwa wafurahi, lkn kila siku hakauki midomoni mwao, mbona hawamuongelei saida karoli??
teh teh teh saida karoli,,,umenifunza ktu apa wangu kumbe waliopitwa na wakati ndo walokauka midomoni mwa watu ila wanaondelea kukick ndo wanazungumziwa either kwa ubaya na haters au kwa uzuri
Nipo ila purukushani za kitaa zinanibana
Achana Na ze mburulazz wasikuchoshe tufocus sie kwa kiba wetu.Sijui kwann wanatumia nguvu nyingi kumdiss kiba wetu, utadhani kuna mlango kawafungia, si wafanye yao!!!
Yeye km nani aseme muda wa kiba umeisha?? Na umeishaje kwa mfano?? Na km umepita how daz it bouther her?? Sasa mtu ambae kaishiwa anakusumbua nini?? Si ndio ilitakiwa wafurahi, lkn kila siku hakauki midomoni mwao, mbona hawamuongelei saida karoli??
Achana Na ze mburulazz wasikuchoshe tufocus sie kwa kiba wetu.
Thats it, pop it up!
Hivi kiba kafanya nn kutangaza mziki wetu international level look at diamond doing collabo with big Africa artists davido, bracket, tiwa savage, inyanya, p square, waje, a.k.a, mafikizolo yemi alade n many more are still asking for collabo you should feel proud for diamond he his representing Tanzania
Domo ni kama Nick Minaj.
Pamoja na kufagiliwa koooote na kupewa collabo hadi watoto wa Primary wanamjua.......lakini akipangwa na Eve ama Missy Elliot lazima akalishwe!!
Hivi Mondi kwenye hizo collabo anaimbaga nini, frankly??
Kwenye coco baby Waje mwenyewe kaimba vizuri ila ndugu yetu sasa osheeeeee eeeh na poorest lyrics & vocal ever! No more discussion
Kwenye ile nyimbo ya Yemi Alade sasa.....Chinekeeeeeee he dey destroy my ear drums oooh!!!
Save da words now, make you tell your Oga!
Hahahaaaaaa!!a you made my day, chai jaba anamuogopa sn domo wallah! Mara ngapi anapanda jukwaani na wasanii wengine ila walaaa hapanik, ila na kiba sasa ni kizungumkuti, moja haimkai mbili inapotea, and yet wanajifanya kumdiss kiba, weweweeeee this shows how much he ruins him.
King hoyeeeeeeeee
Domo ni kama Nick Minaj.
Pamoja na kufagiliwa koooote na kupewa collabo hadi watoto wa Primary wanamjua.......lakini akipangwa na Eve ama Missy Elliot lazima akalishwe!!
Hivi Mondi kwenye hizo collabo anaimbaga nini, frankly??
Kwenye coco baby Waje mwenyewe kaimba vizuri ila ndugu yetu sasa osheeeeee eeeh na poorest lyrics & vocal ever! No more discussion
Kwenye ile nyimbo ya Yemi Alade sasa.....Chinekeeeeeee he dey destroy my ear drums oooh!!!
Save da words now, make you tell your Oga!
Domo ni kama Nick Minaj.
Pamoja na kufagiliwa koooote na kupewa collabo hadi watoto wa Primary wanamjua.......lakini akipangwa na Eve ama Missy Elliot lazima akalishwe!!
Hivi Mondi kwenye hizo collabo anaimbaga nini, frankly??
Kwenye coco baby Waje mwenyewe kaimba vizuri ila ndugu yetu sasa osheeeeee eeeh na poorest lyrics & vocal ever! No more discussion
Kwenye ile nyimbo ya Yemi Alade sasa.....Chinekeeeeeee he dey destroy my ear drums oooh!!!
Save da words now, make you tell your Oga!
Kiba ana international awards ngapi,?