Diva Beyonce
JF-Expert Member
- Mar 6, 2014
- 12,913
- 11,292
Wewe MADAM T huyo Zari kawakomesha wewe na mumeo kama unaye lakini.
Mimi hanitishi wala hanipunguzii chochote mjini hapa haniweki yeye.
Best answer ever huyu zari zari kwani anatuhusu nini siye atutolee ashuo uko mbele naye na kisebu sebu ka zivu LA zari hapa anahusu nini team kiba.
Wewe MADAM T huyo Zari kawakomesha wewe na mumeo kama unaye lakini.
Mimi hanitishi wala hanipunguzii chochote mjini hapa haniweki yeye.
Hahahahaaaa uwiiiii!
Ndio hapo sasa.Bibie na vile hajielewi akaona kila mtu anamuabudu huyo Zari wao.
Huyo nae uwezo wake wa kufikiri ndo umeishia hapo kwa leo.
Mwenzangu watu wengine sijui wakoje wivu wa nini sasa hapo kuuona labda kwa kipi alicho nacho za ziada kinachowafanya wengine wasitumie oxygen labda.Hizi zero IQ kazi yao huwa ni kuwaza watu kutofautiana mitazamo ni chuki. Kama anampenda akamlambe nyaa yake atuwaache sio na Uzi wetu murua.
Hapa ni kwa Kiba sasa huyo madam tumbo kakosea njia muitie mtu amuelekeze kwa doggie.Labda kakukomesha wewe mwenyewe sio wengine usiusemee moyo wewe vipi?
Huyo nae uwezo wake wa kufikiri ndo umeishia hapo kwa leo.
Hapa ni kwa Kiba sasa huyo madam tumbo kakosea njia muitie mtu amuelekeze kwa doggie.
Umeona eeh? Huu uzi unawaumiza wengi balaa mpaka wengine WANABADILI ID ILI WAPATE VIMWANA WA KIBA FANS JAMANI!
Uwiiiiiiii habari zenu tunazo tunawachora tu... Avemaria unajua hili?

Nakuambia nimeshangaa jimama limejileta huku nilivyoona kwenye notifications nikadhani ana la maana kumbe Zari,loooh!
Hahahahaaa jamani hilo tumbo limenitishaje? Nilitaka kusema nikaacha tu!

Alaaaaa kumbee???!!!!
Ebu nitafute kwa ile airtel yangu
Ha hahaaaa litumbo kubwa ka kiroba cha njegere in Nifas voice kanishangaza kwa kweli tumbo lina vupingili kuliko hata mua .Sishangai katumia tumbo hill baya kufikiria zaidi ya kichwa.
Nakuambia nimeshangaa jimama limejileta huku nilivyoona kwenye notifications nikadhani ana la maana kumbe Zari,loooh!
Hahahahaaa jamani hilo tumbo limenitishaje? Nilitaka kusema nikaacha tu!
Ha hahaaaa litumbo kubwa ka kiroba cha njegere in Nifas voice kanishangaza kwa kweli tumbo lina vupingili kuliko hata mua .Sishangai katumia tumbo hill baya kufikiria zaidi ya kichwa.
Hahahaaa ndio hivyo mwenzangu ukiona id mpya ujue watu wako kazini!
Kuna watu wajinga na wakosa kazi sana!
Hahahaaaa sijui kavimbiwa maharage ya wapi yuleee!! Lol
Wewe mtoto una kumbukumbu balaa, kumbe unakumbuka kile kiroba cha njegere? Nilishasahau wallah!