Jamani naona watu wanaulizia sana jinsi ya kumpigia kura King Kiba kwenye tuzo za watu.Pigeni kupitia
www.tuzozawatu.com
Vote as much as you can kuhakikisha King anaibuka mshindi.
Kill music wakianza kuruhusu kupiga kura nitakuja kuwaelekeza jinsi ya kupiga pia.
1 ♥ to all Kiba fans.