Muache apige kazi maana he is back for real
Anapiga hela ili wajinga wachukie
Mwafulani ???
Kuna mjinga fulani anasema Kiba kabuma, hana mafanikio! Aisee kuna watu wa ajabu sana.Hamjui hata Kiba mwenyewe zaidi ya kumsikia tu huku JF ila anavyoongea ni kama mhasibu wake!
Humjui na wewe? Hadi kabadili ID!
Hahahaaa. ..JF raha sana.
Alikosa la kusema mfano yule voda fasta nimekuta kakomenti chuki tupu sehemu Fulani ila nikaona ngoja nipite tu
Wewe muache ndio huyohuyo leo ni mimi na yeye tu.Unajua kuna mashabiki wengine wa Diamond hapa JF hua wanaongea facts ila wapuuzi wengine ni chuki tu.
Kanikera sana.
Nimeona kakukimbia
Yupo offline,namsubiri hiyo jioni.Mjinga sana yule.
Kuna mjinga fulani anasema Kiba kabuma, hana mafanikio! Aisee kuna watu wa ajabu sana.Hamjui hata Kiba mwenyewe zaidi ya kumsikia tu huku JF ila anavyoongea ni kama mhasibu wake!
Mmmh. .tusubiri itoke tu ila huu mkwaju wa king alioshirikishwa na tundaman ni balaa. ..ally hafai
Mmmh. .tusubiri itoke tu ila huu mkwaju wa king alioshirikishwa na tundaman ni balaa. ..ally hafai
Nikushtue kwenye nini mpenzi?Kama ni huo wimbo mpya wa Tundaman ft. King bado sijausikia mimi naujua ule wa msambinungwa tu ambako King alifunika vibaya sana.
Tundaman tena??? Kheee!!!
Anyways......kwakuwa umesema King ndo kashirikishwa mmmmh haya!
JJamaniii mi nataka n'sauleee
Kama mapenzi ghorofa yamejaa Kariakoo
Mi nna mapenzi tele kama kwetu kule
Wan'onitaka ni wengi ila mimi kwako nyang'a nyang'aaaa!!!
Mi penda sana this song hasa verse ya kwanza!
Nikushtue kwenye nini mpenzi?Kama ni huo wimbo mpya wa Tundaman ft. King bado sijausikia mimi naujua ule wa msambinungwa tu ambako King alifunika vibaya sana.
King mbayaaa ukimshirikisha anakupoteza kabisaaaa
ngoma ya tunda ila balaa alilofanya king hata kama tundaman humuelewi lazma ulikubali hilo pini.....Tundaman tena??? Kheee!!!
Anyways......kwakuwa umesema King ndo kashirikishwa mmmmh haya!