Teh Teh mtani nimeisikiliza clip sehemu Warioba(TID) akihojiwa na Soud broun(clouds Fm) kuhusu kunusurika kupigwa na Mugabe (Q-chillah) baada ya soud kumhoji Mugabe ..Mugabe alieleza kuwa alipo kuwa Club maisha akicheza pool table..akatokea Warioba akiomba anataka kuongea nae ..lakini akamwambie Warioba ni tafute private na kwa muda wako hapa si mahali pake..lakini Warioba alizidi kubembeleza ikabidi Mugabe ..amfate na kuanza kumwambia sijapenda ulivyo uponda wimbo wa Kiba kwenye mitandao..
Kituko zaidi alipo pigiwa Warioba kuanza kuulizwa na Soud nasikia ulikoswa koswa kupigwa na Mugabe...hahahaha daaa Warioba akaanza "kumwambia Sudi kata simu mtu wa Mungu,na sema kata simu kwa uwezo wa Mungu nasema kata simu kwa uwezo wa Mungu kata simu kwa uwezo wa Mungu.."
Hakuna siku nimecheka kama leo..daa yani Warioba alikuwa ana kemea kabisa kama mlokole hadi Sudi akakata simu..kwakweli nimecheka sana...daaa